Naitaji gari aina ya Toyota Carina

Naitaji gari aina ya Toyota Carina

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Habari mkuu, naamini una aina ya gari tajwa hapo juu, sasa mimi nalihitaji ifikapo tarehe 23 Mwezi wa 9 mwaka huu kwa bei hiyo hapo juu bila senti. Nataka liwe na usajili wa C kuja juu. Liweze kuhimili safari za Dar to Mwanza mara 4 kwa mwaka. AC, Radio/TV siti nzuri na Engine nzima kabisa vitazingatiwa. Weka picha zake hapa, na usimuuzie mtu baada ya kukubali kuniuzia mimi mwana JF mwenzako.

Nitakuja na fundi wangu kuhakikisha ubora.
 
Nasubiria kuona majibu ya wadau tu hapa. Ahsante.
 
Bora ungesema S.I hapo sawa tena kwa 5 milion sio nne.
 
masharti kibao kama mganga na ela yenyewe ya ngama, ila subiri waje
 
Ukifanikiwa kupata unijulishe na mimi niweke bango. Naandaa 5.5
 
Bado naendelea kusubiri, tarehe inakaribia wakuu mtajuta kukosa hii pesa
 
Back
Top Bottom