Naitaji gari aina ya carina Ti au Si isiyozidi m.5

Naitaji gari aina ya carina Ti au Si isiyozidi m.5

GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,726
Reaction score
2,052
wakuu mwenye gari ya sifa hizo na anaitaji kuuza ani pm
 
Kwa nia njema nakushauri usikubali kununua TI chini ya bei ya Bajaj ambayo kwa Sasa ni 5.8m maana itakuwa fupaa hata Mbwa halambi, Bora uendelee ku save au nunua kwa cash kwa hiyo 5m balance iwe mkopo ulipe taratibu
 
Asante kwa ushauri wako,je wapi naweza kupata hiyo ya cash na zinazobaki iwe mkopo?
 
wakuu mwenye gari ya sifa hizo na anaitaji kuuza ani pm

Usikate tamaa kwani sio wote wauzao magari wanauza kwa kuwa ni mabovu wapo walioshikwa na shida za ghafla,pia nakushauri ununue Ti, ingawa kinuundo zinafanana na Si kwenye upande wa matumizi( mafuta ,vipuri na hata Leseni yake iko )viko juu
 
Mjomba endelea kusave kidogo upate mkoko wa.maana otherwise utaiuziwa mshipa uishie kushinda garage bubu kila siku
 
Nakushauri utafute Starlet ni gari ngumu sana.

Spares za kumimina, fuel economy, mafundi wa kumwaga.
Bei iko poa still kwa sasa mpaka 6.5 unapata iko barabarani inatembea kwa miguu yake yenyewe bila usumbufu wa TRA wala Insurance.
Ni zaidi ya IST, Passo, Carina na nyinginezo cause its durable na bati lake halina fake.
 
Nashukuru kwa ushauri wenu naendelea kuufanyia kazi
 
wakuu mwenye gari ya sifa hizo na anaitaji kuuza ani pm
Mkuu, kwa hakika unaweza kupata carina nzuri kwa 5M, kama tu utakuwa na subira na uvumilivu, japo inaweza kuchukua muda. Watu wanauza magari yao kwa nia tofauti, mwingine amebanwa na shida, mwingine anahitaji kununua gari tofauti! Ungeweza ungeongeza 3M kwenye hiyo pesa unaagiza mashine "mpya" kwa around 4M then 4M inayobaki unajiandaa kwa kodi na gharama zingine. Cha muhimu usiwe na haraka mkuu!
 
Ni PM nina toyota carina ila inabidi uitoe bandarini, ina mile 54,000 only.
 
mnaomshauri kununua starlet je kama jamaa anataka ya taxi starlet itapiga kazi ya taxi? carina kwa ml5 atapata tu humu
 
Usitanue upaja kama msuri mdogo kama hauwezi gari si mbaya ukianza na toyo si unaona diamond alianza na opa sasa ana v8.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa

kama kawaida yako King Kong III kila kitu unaponda,
 
Last edited by a moderator:
nissan blue bird.jpg Niissani blue bird , ipo exccelent condition , tel 0713 95 92 90
 
wakuu mwenye gari ya sifa hizo na anaitaji kuuza ani pm

Kwa Carina nzuri kabisa Ti au Si huwezi kukuta chini ya 8m. Nyingi zinanunuliwa na kutumika taxi, hivyo soko lake lipo juu sana. Kwa bei hiyo utauziwa chuma chakavu. Jikusanye kidogo, jazia jazia ununue zuri kidogo.
 
Mkuu hii gari hujaweka detail zake kama km,ingine,mwaka iliotengenezwa arafu huenda spare zake shida kupatikana na ulaji wake wa mafuta, vilevile show ya mbele haionekani,ndani hapaonekani pamoja na bei hujataja. Kama vp ni Pm kwa kunipa detail zote hizo baada ya hapo naweza kukupigia.
 
Back
Top Bottom