Wakuu amani iwe nanyi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Mimi naitaji freezer ya kukodi kwa muda wa miezi mitatu tu.
Naitaji liwe na ukubwa wa lita 250 hadi lita 500.
Mimi naishi kibaha picha ya ndege,aliye nalo tafadhali sana naomba tuwasiliane.
Sent using
Jamii Forums mobile app