😂😂😂 watafuta ajira wanatuogopesha mabosi....Siyo kwa ubaya ila jinsi ulivyoandika hili tangazo ni kibabe sana🙌, anyway wanakuja Mkuu
Naitaji ❌
Nahitaji ✅
Mshara ❌
Mshahara ✅
Ata ❌
Hata ✅
dsm ❌
DSM ✅
muhimu Cha msingi ❌
muhimu cha msingi ✅
Naitaji ajira ELIMU ❌
Nahitaji ajira elimu ✅
Jifunze kuandika kwanza ajira z
tumiajitumiaji wa free wifi unaandika comment ndefu
kuliko post yangu
Kwenda JKT zamani ilikuwa ndio sifa muhimu kuingia katika vyombo vya Ulinzi, imekuwaje tena siku hizi.Habari zenu wana jamii Naitaji ajira ELIMU kidato Cha 6 sema kidato sio muhimu Cha msingi mshara nipo dsm....nimepga JKT ata wenye connection za majeshi njooni mnipe . Asante
Unasemea online marketingSimu yako ajira yako
😂😂😂, nimesoma mpaka nimeshtuka 🙌 kwa jinsi alivyoandika hapa boss lazima uwaze mara mbili kwanza😂😂😂 watafuta ajira wanatuogopesha mabosi....
Kuna yule mwingine wa tarime 🙌🙌
Muhimu = Cha MsingiNaitaji ❌
Nahitaji ✅
Mshara ❌
Mshahara ✅
Ata ❌
Hata ✅
dsm ❌
DSM ✅
muhimu Cha msingi ❌
muhimu cha msingi ✅
Naitaji ajira ELIMU ❌
Nahitaji ajira elimu ✅
Jifunze kuandika kwanza ajira zipo.
Hatuombi hivi mwaisa,nikama una guarantee kumbe unaomba msaada.Habari zenu wana jamii Naitaji ajira ELIMU kidato Cha 6 sema kidato sio muhimu Cha msingi mshara nipo dsm....nimepga JKT ata wenye connection za majeshi njooni mnipe . Asante
Muhimu = Cha Msingi
Usibishane nao ndio maboss wenyewe hao kiongozi 😂 😂 😂tumiaji
Kuna utoto pia mkuu.Habari zenu wana jamii Naitaji ajira ELIMU kidato Cha 6 sema kidato sio muhimu Cha msingi mshara nipo dsm....nimepga JKT ata wenye connection za majeshi njooni mnipe . Asante ❌
Habari? Nina uhitaji wa kazi, elimu yangu ni kidato cha sita, niko Dar es Salaam. Niko tayari kufanya kazi kwa malipo tutakayokubaliana. Pia nimepitia mafunzo ya JKT, hivyo ninaweza kuhudumu katika vyombo vya ulinzi. Asanteni. ✅
Me namuelewa kama amepiga comb za sayansi au hesabu nyingi Kuna Hali flani unasahau kuandika maneno mengi ya kiswahili ndiyo analopitiaHuyu kijana namtilia shaka sana uwezo wake katika kufanya kazi
Mbona kaweka sample hapo juu arekebishe tu, shida siyo kuandika maneno. Jinsi alivyoandika hilo ombi ndiyo tatizo lilipoanziaMe namuelewa kama amepiga comb za sayansi au hesabu nyingi Kuna Hali flani unasahau kuandika maneno mengi ya kiswahili ndiyo analopitia
Ingependeza mumsaidie kama Kuna uwezekano kwenye hitaji lake kuliko hivi mnavyomkosoa sana hata mtu anayetaka kumpa ajira anaweza kughairi kwa kusoma comment zenu
Sawa mkuu ila kusema hafai kuajiliwa kisa alichokiandika sio jambo zuri kuliongelea kama kumzibia rizki mwanadamu mwenzioMbona kaweka sample hapo juu arekebishe tu, shida siyo kuandika maneno. Jinsi alivyoandika hilo ombi ndiyo tatizo lilipoanzia