Rejea kichwa habari apo juu,naitaji air compressor ambayo used Kwa matumizi ya kujazia upepo!Kwa mwenye anayo anauza njoo pm tuyamalize lakini weka specification zake!

Mkuu ebu kamilisha tangazo lako...
1. Unahitaji compressor ya ujazo gani?
2. Unahitaji ya umeme ama petrol?
3. Unahitaji yenye kutoa kpi/bar ngapi?
4. Unahitaji ukuwe na hose pipe za urefugani?
5. Unapatikana wapi?