Naitafuta riwaya ya mkimbizi

Kwenye Mkimbizi na Mtuhumiwa Tuwa alikamua sana.
Unasoma riwaya mpaka unadata kwa mizuka.
Hizi ni baadhi ya kazi zake ambazo kwangu nimezikubali sana;
Mtuhumiwa.
Mkimbizi.
Mdunguaji.
Mfadhili.
Utata wa 9/12 part1&2.
Mkuu una Mtuhumiwa?naitafuta sana
 
Kwenye Mkimbizi na Mtuhumiwa Tuwa alikamua sana.
Unasoma riwaya mpaka unadata kwa mizuka.
Hizi ni baadhi ya kazi zake ambazo kwangu nimezikubali sana;
Mtuhumiwa.
Mkimbizi.
Mdunguaji.
Mfadhili.
Utata wa 9/12 part1&2.
Mkuu hiyo Mtuhumiwa copy yake unayo? Maana njmekisaka sana hichi kitabu sijakita mpaka mwenyewe hajatoa toa hard copy yake kwa miaka hii ya karibun

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…