CPA
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 809
- 354
hiyo Hapo mkuu, bandol lako tuKama Kuna mtu ana hii riwaya inaitwa Mkimbizi iliandikwa na Hussein Tuwa (Kama sijakosea) naomba anipatie au aiweke hapa.
Niliisomaga zamani sana kwenye magazeti pendwa wakati ule yaliyokuwa yanatoka kila week
Kwa wapenzi wa riwaya za Kiswahili, mzigo wa 'Mkimbizi' wa ndugu yetu Tuwa, huu hapa
jamani inapatikanaje hii riwaya