Naitafuta FURAHA niipate wapi mie Jamani.

Mwanasheka

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
16
Reaction score
4
Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki mara ya mwisho nimefurahi lini.Kilichonifanya niweke hapa na kuomba ushauri ni baada ya kugundua week iliyopita kuwa nina miaka mingi pia SIJACHEKA maana kuna mtu alinisimulia story tena ya kijinga jinga tu ila NILICHEKA SANA hadi nikasikia mapafu/moyoni kama kuna mzigo nimeupunguza hapo ndipo nikastuka kumbe nina siku nyingi sana sijacheka. Ina maana siku zote nilikuwa natoa Plastic Smile tu na si kuwa nilikuwa NAFURAHI toka MOYONI.
Ninaomba umnipe Ushauri mwenzenu nifanye nini ili niwe na furaha (Happy) pia nicheke kicheko cha Ukweli sio Plastic Smile.
Maisha yangu kwa kifupi yako hivi:
1) Mie sio mtu wa kutoka (Outing),Nililelewa na Mama wa Kambo na sikupata muda wa kucheza na wenzangu nilipokuwa mdogo except muda ule nilipokuwa shuleni tu,muda wote nilikuwa nasaidia kazi za nyumbani..so sikuwa na marafiki zaidi ya niliosoma nao darasa moja. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa mwenyewe mwenyewe tu,siwezi kusocialize kabisa,starehe yangu ni kulala. Inaweza kuwa ni sababu pia lakini mbona ninaishi kwangu tangu 2006 lakini sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
2) Nina ugonjwa unaonisumbua miaka mingi sana kama 20 yrs sasa niko kwenye tiba maendeleo ni mazuri tu .Ila nimehangaika sana hadi kufikia hapa.Je hili pia laweza kuwa ni chanzo cha kukosa Furaha na kama ni ndio chanzo mbona nimeana kupata nafuu ya ugonjwa lakini bado sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
3) Sijaolewa
Nishaurini mwenzenu nifanye nini ili niweze kuwa na FURAHA au AMANI YA MOYO.
 
Je, huna hata "boy friend"?? Je, ni ugonjwa gani huo ulougua na ambao kwasasa unanafuu??...
 
Pole bestito kwa kukosa furaha, furaha haiji hivihivi bali inatokana na mazingira au mahali unapoishi, ama kuna kitu kilikupata utotoni ndo furaha ikakosekana, ningekushauri uende kwa wataalamu wa saikolojia nadhani watakusaidia kwani tatizo lako liko kwenye ufahamu, ubongo wako haujakaa vyema, hivyo usipuuzie jambo hilo kwani litakufanya upate matatizo makubwa hapo baadaye. ama nenda kanisa la kiroho watakushauri na kukuombea hapo utapata msaada zaidi
 
pole sana furaha itafute mwenyewe kwanza jua ni mambo gani yanakufanya ufurahi,.
kwa mfano me

:kila nikiamka asubuhi always i think life in positive way while najiangalia kwenye kioo nikiwa natabasamu.i love watching kids doing their thing in internet even those surround me when i do this i forget ma problem. so wewe jaribu kufanya yafuatayo:

  • be far away from those things made u to be sad or remind u bad thing have already happening to your life.
  • usiweke mambo moyoni, me mwepesi sana kukupa makavu kama umeniudhi na kama sikupendi nakwambia ukweli ili uwe mbali na me though inafanya nionekane mkatili.
  • jikubali mwenyewe kwa kila jambo.
  • usifanye mambo nje ya uwezo wako.
  • never guarantee your happiness can cause by any body even your boyfriend.
 
Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki mara ya mwisho nimefurahi lini.Kilichonifanya niweke hapa na kuomba ushauri ni baada ya kugundua week iliyopita kuwa nina miaka mingi pia SIJACHEKA maana kuna mtu alinisimulia story tena ya kijinga jinga tu ila NILICHEKA SANA hadi nikasikia mapafu/moyoni kama kuna mzigo nimeupunguza hapo ndipo nikastuka kumbe nina siku nyingi sana sijacheka. Ina maana siku zote nilikuwa natoa Plastic Smile tu na si kuwa nilikuwa NAFURAHI toka MOYONI.
Ninaomba umnipe Ushauri mwenzenu nifanye nini ili niwe na furaha (Happy) pia nicheke kicheko cha Ukweli sio Plastic Smile.
Maisha yangu kwa kifupi yako hivi:
1) Mie sio mtu wa kutoka (Outing),Nililelewa na Mama wa Kambo na sikupata muda wa kucheza na wenzangu nilipokuwa mdogo except muda ule nilipokuwa shuleni tu,muda wote nilikuwa nasaidia kazi za nyumbani..so sikuwa na marafiki zaidi ya niliosoma nao darasa moja. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa mwenyewe mwenyewe tu,siwezi kusocialize kabisa,starehe yangu ni kulala. Inaweza kuwa ni sababu pia lakini mbona ninaishi kwangu tangu 2006 lakini sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
2) Nina ugonjwa unaonisumbua miaka mingi sana kama 20 yrs sasa niko kwenye tiba maendeleo ni mazuri tu .Ila nimehangaika sana hadi kufikia hapa.Je hili pia laweza kuwa ni chanzo cha kukosa Furaha na kama ni ndio chanzo mbona nimeana kupata nafuu ya ugonjwa lakini bado sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
3) Sijaolewa
Nishaurini mwenzenu nifanye nini ili niweze kuwa na FURAHA au AMANI YA MOYO.
Dada yangu kwanza nakupa pole kwa hali uliyopitia... tena nikupongeze kwa kuwa muwazi kuelezea hali yako ... mimi ni Mkristo na hivyo ntakupa kile nilicho nacho .... Nakuhakikishia nina suluhisho la tatizo lako ... unachotakiwa ni kufuata taratibu zifuatazo ...

... Kwanza Mpe Yesu Kristo Maisha yako kwa maana ya kuokoka
[h=1]Warumi 10 : 9[/h]10.9 Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.

<<< Kwa msaada zaidi nenda kwa Kanisa lolote la watu wanaoamini kwenye wokovu then watakuongoza sala ya toba >>>

kisha mkabidhi Yesu fadhaa zako zote ....
1 peter 5:6-7

5.6 Basi, nyenyekeeni chini ya mkono wa enzi wa Mungu, ili awainue wakati ufaao.

5.7 Mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.

pia Bwana Yesu anasema ...

[h=1]Mathayo 11 : 28-30[/h]11.28 Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
11.29 Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni mwenu.
11.30 Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."

Yaani kwa ufupi ili uwe na furaha,haijalishi unaumwa ama huumwi,una pesa ama huna,umeolewa ama hujaolewa,una mchumba ama huna .... unachohitaji ni kimoja tu,uwe na ROHO MTAKATIFU ambaye utapewa ukimpokea Bwana Yesu Kristo ... yaani kuna raha ya ajabu isiyo na kifani kwa ROHO MTAKATIFU ... laiti ulimwengu ungegundua hili watu wote wangekuwa na furaha na kuisha maisha ya kipekee ...
 
Furaha huwa imo ndani ya mtu Mungu amekupa uwezo wa kuchagua kuwa na furaha katika mazingira yoyote yale, anza sasa kutengeneza furaha ndani yako jiambie mwenyewe kuwa nataka kuwa na furaha, tenga muda kila siku wa kufikiria furaha yako in a positive way jiambie mara nyingi kwamba una furaha na jisikie kweli kwamba unafurahia maisha. wasamehe wote walio kukosea na jaribu kufanya meditation mara kwa mara itakusaidia.
 
Nani kajamba humu ndani, mbona kunanuka ushuzi?,..., {joke} hata hilo bado hujafurahi?
 
Maradhi gani yanakusumbua? Kuna maradhi mengine yanaweza kumeza furaha yako! Na kwa muda gani umekuwa mgonjwa?
 
We shida yako sio FURAHA bali una ugonjwa wa kuto CHEKA. Furaha na kicheko ni vitu tofauti sana japo wakatifulani(si mara zote) kicheko huwakilisha furaha. Furaha ya binadamu inajengwa zaidi na ubongo na nafsi kukubaliana kwa pamoja juu ya jambo, kitu au tukio fulani. Mara nyingi furaha ni matokeo ya kuridhia hali iliyopo bila manumg'uniko mf. Mafanikio fulani. Furaha katk maisha inakuja pale ndoto zako ktk maisha zifanikiwapo. Mf.ukimpata mume,mtoto, nyumba, ajira nk. Kinyume cha furaha ni huzuni lakini kinyume cha kucheka ni kununa. Huwez nambia hujawahi kuwa na furaha wakati umesema una boyfriend(je,unajisikiaje mnapofanya mapenzi?) kama utajisikia huzuni badala ya furaha basi hapo pana tatzo kubwa tu. Athari za kuto cheka si kubwa kulinganishwa na athari za kukosa furaha. Kucheka kunapelekea mwili na mishipa i relux kitu ambacho waweza pata ukishiriki mazoezi na michezo mara kwa mara.
 
Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki mara ya mwisho nimefurahi lini.Kilichonifanya niweke hapa na kuomba ushauri ni baada ya kugundua week iliyopita kuwa nina miaka mingi pia SIJACHEKA maana kuna mtu alinisimulia story tena ya kijinga jinga tu ila NILICHEKA SANA hadi nikasikia mapafu/moyoni kama kuna mzigo nimeupunguza hapo ndipo nikastuka kumbe nina siku nyingi sana sijacheka. Ina maana siku zote nilikuwa natoa Plastic Smile tu na si kuwa nilikuwa NAFURAHI toka MOYONI.
Ninaomba umnipe Ushauri mwenzenu nifanye nini ili niwe na furaha (Happy) pia nicheke kicheko cha Ukweli sio Plastic Smile.
Maisha yangu kwa kifupi yako hivi:
1) Mie sio mtu wa kutoka (Outing),Nililelewa na Mama wa Kambo na sikupata muda wa kucheza na wenzangu nilipokuwa mdogo except muda ule nilipokuwa shuleni tu,muda wote nilikuwa nasaidia kazi za nyumbani..so sikuwa na marafiki zaidi ya niliosoma nao darasa moja. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa mwenyewe mwenyewe tu,siwezi kusocialize kabisa,starehe yangu ni kulala. Inaweza kuwa ni sababu pia lakini mbona ninaishi kwangu tangu 2006 lakini sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
2) Nina ugonjwa unaonisumbua miaka mingi sana kama 20 yrs sasa niko kwenye tiba maendeleo ni mazuri tu .Ila nimehangaika sana hadi kufikia hapa.Je hili pia laweza kuwa ni chanzo cha kukosa Furaha na kama ni ndio chanzo mbona nimeana kupata nafuu ya ugonjwa lakini bado sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
3) Sijaolewa
Nishaurini mwenzenu nifanye nini ili niweze kuwa na FURAHA au AMANI YA MOYO.
Oooh, pole sana dada, tataizo ulilonalo sio la kwako tu, watu wengi dunianani wana tatizo hilo. Mtu ambaye mi namwona ni tajiri duniani ni yule ambaye ana constant AMANI YA MOYO/FURAHA, hiki ni kitu adimu sana mtu kuwa nacho. Nakupongeza sana kwa kujitambua kwamba unahitaji hilo. Mimi sioni kwamba kutoka kwenda sehemu ambayoitakufanya uchangamke, au mtu kukuchekesha ndio utapata furaha, hapana. AMANI YA MOYO inaanza kwenye akili yako. Kwa mfano katika uzoefu wangu, nilianza kukuosa ANANI YA MOYO/ FURAHA nilipoanza masomo ya High School, hapo ndipo nikajigundua kuwa nipo tofauti na nilipokuwa O' level. Niligundua kwamba Msongo niliokuwa nao ulinipa woga wa maisha na pia ulinipotezea furaha yangu kabisa. Hali hii kwangu yalikuwa ni mateso makali sana. Sikutaka niendelee kuishi katika hali hii, nilitafuta suluhisho.

  • Mimi ni mkristo ninamwamini Mungu, kitu cha kwanza kabisa niliomba kwa dhati, na nikaanza kupata ahueni.
  • Kitu kingine pia nilijifunza kuwapenda watu, mtu yeyote yule haijalishi unamfahamu au humfahamu, hii itakupa kuwajengea imani watu wengine na kuwathamini, kitu ambacho kitakusaidia kukuondolea mashaka moyoni mwako ambayo kwa kweli ni chanzo moja wapo cha kuondoa furaha.
  • Kuwa friendly na kujaribu kusamehe kila anayekukosea
  • Kutoruhusu mtu aharibu hisia zako, ninamaana kwamba usiudhike pale mtu anapojaribu kuudhi kwa maksudi.
  • Kuipenda familia yako kwa moyo wa dhati
  • Kuamini kwamba yupo mtu anayekupenda hata kama wengine wakikuacha, kwa mfano mimi nikiwa katika diseparate situation, nakuona kwamba hakuna anayenijali, nijawa na faraja moyoni pale ninapo kuwa na imani kwamba, mama yangu ana nipenda sana, Mungu wangu pia ana nipenda sana.
  • Kuwa na imani na matumaini kwa kila jambo unalolifanya.
  • Kikubwa zaidi, kama unamwamini Mungu kweli, basi uwe mwaminifu kweli na fanya maombi peke yako, sio kumwambia mtu akufanyie maombi Mungu anamsikia kila mtu.
Ninailewa vema hali uliyomo dada Mwanasheka ukijaribu kutafakari hayo niliyo kwambia yanaweza kuwa ni long term solution.
 
JARIBU kuhudhulia ushauri nasaha wa watu wenye HIV , MBINU wanazotumia kuikabiri hali waliyonayo zitakusaidia. Tafuta vitabu vya wanafalsafa vinavyohusiana na maisha visome. Jaribu kutafuta majukwaa yenye kukupa furaha, mf: Kama wapenda muziki hudhulia matamasha ya muziki. Jidhamini na ujione mwenye thamani. Kama wewe ni bahili jitahidi kupunguza (kuna watu hata wakinywa soda hela yao inawauma).
 
Oooh, pole sana dada, tataizo ulilonalo sio la kwako tu, watu wengi dunianani wana tatizo hilo. Mtu ambaye mi namwona ni tajiri duniani ni yule ambaye ana constant AMANI YA MOYO/FURAHA, hiki ni kitu adimu sana mtu kuwa nacho. Nakupongeza sana kwa kujitambua kwamba unahitaji hilo. Mimi sioni kwamba kutoka kwenda sehemu ambayoitakufanya uchangamke, au mtu kukuchekesha ndio utapata furaha, hapana. AMANI YA MOYO inaanza kwenye akili yako. Kwa mfano katika uzoefu wangu, nilianza kukuosa ANANI YA MOYO/ FURAHA nilipoanza masomo ya High School, hapo ndipo nikajigundua kuwa nipo tofauti na nilipokuwa O' level. Niligundua kwamba Msongo niliokuwa nao ulinipa woga wa maisha na pia ulinipotezea furaha yangu kabisa. Hali hii kwangu yalikuwa ni mateso makali sana. Sikutaka niendelee kuishi katika hali hii, nilitafuta suluhisho.

  • Mimi ni mkristo ninamwamini Mungu, kitu cha kwanza kabisa niliomba kwa dhati, na nikaanza kupata ahueni.
  • Kitu kingine pia nilijifunza kuwapenda watu, mtu yeyote yule haijalishi unamfahamu au humfahamu, hii itakupa kuwajengea imani watu wengine na kuwathamini, kitu ambacho kitakusaidia kukuondolea mashaka moyoni mwako ambayo kwa kweli ni chanzo moja wapo cha kuondoa furaha.
  • Kuwa friendly na kujaribu kusamehe kila anayekukosea
  • Kutoruhusu mtu aharibu hisia zako, ninamaana kwamba usiudhike pale mtu anapojaribu kuudhi kwa maksudi.
  • Kuipenda familia yako kwa moyo wa dhati
  • Kuamini kwamba yupo mtu anayekupenda hata kama wengine wakikuacha, kwa mfano mimi nikiwa katika diseparate situation, nakuona kwamba hakuna anayenijali, nijawa na faraja moyoni pale ninapo kuwa na imani kwamba, mama yangu ana nipenda sana, Mungu wangu pia ana nipenda sana.
  • Kuwa na imani na matumaini kwa kila jambo unalolifanya.
  • Kikubwa zaidi, kama unamwamini Mungu kweli, basi uwe mwaminifu kweli na fanya maombi peke yako, sio kumwambia mtu akufanyie maombi Mungu anamsikia kila mtu.
Ninailewa vema hali uliyomo dada Mwanasheka ukijaribu kutafakari hayo niliyo kwambia yanaweza kuwa ni long term solution.

There is Great Difference btn JOY and HAPPINESS, TOFAUTI YAKE NI MBALI Kama Mbingu na Ardhi.
send me private sms nikuonyeshe NJIA ya kutokea. Glory b to God
 
Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki mara ya mwisho nimefurahi lini.Kilichonifanya niweke hapa na kuomba ushauri ni baada ya kugundua week iliyopita kuwa nina miaka mingi pia SIJACHEKA maana kuna mtu alinisimulia story tena ya kijinga jinga tu ila NILICHEKA SANA hadi nikasikia mapafu/moyoni kama kuna mzigo nimeupunguza hapo ndipo nikastuka kumbe nina siku nyingi sana sijacheka. Ina maana siku zote nilikuwa natoa Plastic Smile tu na si kuwa nilikuwa NAFURAHI toka MOYONI.
Ninaomba umnipe Ushauri mwenzenu nifanye nini ili niwe na furaha (Happy) pia nicheke kicheko cha Ukweli sio Plastic Smile.
Maisha yangu kwa kifupi yako hivi:
1) Mie sio mtu wa kutoka (Outing),Nililelewa na Mama wa Kambo na sikupata muda wa kucheza na wenzangu nilipokuwa mdogo except muda ule nilipokuwa shuleni tu,muda wote nilikuwa nasaidia kazi za nyumbani..so sikuwa na marafiki zaidi ya niliosoma nao darasa moja. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa mwenyewe mwenyewe tu,siwezi kusocialize kabisa,starehe yangu ni kulala. Inaweza kuwa ni sababu pia lakini mbona ninaishi kwangu tangu 2006 lakini sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
2) Nina ugonjwa unaonisumbua miaka mingi sana kama 20 yrs sasa niko kwenye tiba maendeleo ni mazuri tu .Ila nimehangaika sana hadi kufikia hapa.Je hili pia laweza kuwa ni chanzo cha kukosa Furaha na kama ni ndio chanzo mbona nimeana kupata nafuu ya ugonjwa lakini bado sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
3) Sijaolewa
Nishaurini mwenzenu nifanye nini ili niweze kuwa na FURAHA au AMANI YA MOYO.

Kwanini mpaka umri huo hujapata kuolewa?
 
Back
Top Bottom