Naisubiri kauli ya Rais Magufuli kuhusu mafuriko Dar es Salaam

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,628
6,669
Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es salaam, athari za mvua hizo zimeanza kujitokeza kwa wakazi wanaoishi mabondeni kukumbwa na mafuriko

Wakazi waopatikana msimbazi hali imewakuta na wanahali mbaya sana, hivyo watahitaji misaada ya kibinadamu dhidi ya janga hili la mafuriko

Ni shauku yangu sasa nimsikie mkulu wa nchi akisema neno ni jinsi gani ameguswa na tatizo hili kwa wapiga kura wake
 
Kwani yeye kaleta mvua?
 
kwanza inaonyesha mtoa Uzi umekaa kinafki. kipindi kile wakati wanawaondoa ulipiga kelele wabaki. lakini serikali iliwashauri wahame ila mliingiza siasa. sasa kila MTU abebe mzigo wake
Wewe ndiomnafiki!
Wahamkie wapi uwezo wa kumudu gharama za maisha, ujenzi na kupanga nyumba hawana?
 
Unyangala hayo maneno yako juu si ya busara hata kama mnatofauti ya itikadi

Najua huna siku nyingi toka ujiunge jaribu kusoma wenzip wanavyokosoa kwa busara

Au umefungua id mpya kwa ajili ya matusi

Mods mfuatilieni huyu
 
Hahahaha...kwani Mimi ndie nimeleta mafuriko..?? Kwani wakati nazunguka nchi naomba kura nilisema nitawaletea mafuriko...
Mwafwa
Itafanana na hii "Kwani serikali ndio nimesababisha mafuriko"???
 
Kuna picha zipo mungwana blog zikionyesha nyumba zikiwa kwenye mafuriko Dar,iwapo hayo yametokana na watu kujenga sehemu ambazo zina njia za maji hapo SERIKALI haipaswi kulaumiwa.Kuna kipindi watu hao walishapewa maneo mbadala ili wahame kwenye hayo maneo ya mabondeni lkn wengi badala ya kuhamia huko waliyauza maeneo hayo na kuendelea kuishi hukohuko mabondeni , SERIKALI haiwezi kufanya kitu kilekile kila mwaka, huo utakua ukichaa.
 
Back
Top Bottom