Naishukuru MMU, imenipatia mke........

Hongera sana kwa kupata Asali Wa Moyo. Ngoja nitembelee profile yako, nitamjua huyo mwenzi wako maana atakuwa ametembelea zaidi.
 
Miezi miwili iliyopita ?
Na sasa mko kwenye penzi tamu na mwezi ujao ndoa ... ndani ya miezi miwili tu oops sijawahi ona ..
Hongereni sana mungu awatangulie katika hili
 
Mungu awajalie maisha mema na yenye furaha na upendo tele ndugu zetu, hongereni tena na tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…