Mvua Ya Kiangaz
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 308
- 144
Salaam,
wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;
Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!
Naona bibie atakuwa kamdatisha kwa vitu vitamu lol!!FINALLY!!! ila ingependeza woote muwepo hapa tuwapongeze woote.... Hongera Saana bana. (kulikua na haja ya kuandika hapo in bold??)
Salaam,
wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;
Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!
Hivyo vitamu vilivyo waunganisha vidumu milele............Salaam,
wana JF, miezi kama miwili hivi nilipost MMU tatizo la kukimbiwa na wapenzi kipindi cha kutambuana (dating) ilhali nikiwa sijaonja au kuonjeshwa penzi; baada ya kujipambanua kuwa sijawahi ku-du,nilimpata mwana JF mwenzangu ambae tumeonjeshana vitu vitamu na sasa tuko bize na mipango ya ndoa, Harusi itakuwa tarehe 08/10/2011;
Nawashukuru wooooote na naomba niwaalike kwa namna ya pekee katika hafla hiyo, Mungu awabariki sana!
Naona bibie atakuwa kamdatisha kwa vitu vitamu lol!!
Duh that is the great news
Hongera sana mkuu na Mungu awajalie kila lililo jema katika safari yenu
yaelekea mambo matamu sana umeyapata mpaka umeamua kutangaza ndoa
BTW TF unaona mambo hayo
Lol!! Mwalimu utamu daima dawamuHongereni......mupeane utamu daima dawamu
Hahahaha!!! Rocky nimeona lolzDuh that is the great news
Hongera sana mkuu na Mungu awajalie kila lililo jema katika safari yenu
yaelekea mambo matamu sana umeyapata mpaka umeamua kutangaza ndoa
BTW TF unaona mambo hayo
Lol!! Mwalimu utamu daima dawamu
Someni PM zenu nimewajibu hizi posts... maana hapa tutachakachua (nina wasi wasi labda Cheusi Mangala ..lol)
Umepata PedesheeeeMi mwenyewe nashukuru nimepata mume.
Na wewe hongerahongera sana