Naishinda vipi hii vita?

Yaani kwakifupi, umekuja kuomba tukufundishe kutongoza eehhh...!!??
 
Kwa hiyo mindset yako kuwa humwezi basi ujue ushashindwa mapema
 
[emoji2]Hapana najua ila hii case ndo inahitaji mbinu za ziada
Sawa, basi anza kuwa na ukaribu nae.
Pia hakikisha unafahamu nini huyo mwali anapendelea.
Onyesha kumjali, na msikilize zaidi anapo kua anaongea.
Usionyeshe tamaa na haraka ya kumkula.
Mkaribishe dinner na mitoko ya jioni.
 
Mkuu mi nimekuelewa hapo mwisho unaweza kunidadavulia kivipi kuhusu uzinz unavyomaliza nguvu.
 
Mkuu mi nimekuelewa hapo mwisho unaweza kunidadavulia kivipi kuhusu uzinz unavyomaliza nguvu.

Kuna milango miwili ya kuiteka na kuiangamiza nafsi ya mtu.(Mwanaume), Kwanza ni tumbo lake kwa kupitia chakula na pili ni kwa kiungo chake cha uzazi. Unapofanya uzinzi unafungua ulimwengu mwingine. Hapo kunakuwa na roho tofauti za uumbaji na maangamizi. Unapoingia ndani ya mwanamke unafungua ufahamu wa kiroho, kukosa misingi na maarifa ya kukuongoza utajikuta una surrender kila kilicho chako kwa huyo mwanamke, na kama haitoshi utajikuta unatoka na laana na mikosi kwa huyo mwanamke.

Kuna sex rituals watu wanavuta nyota kwa kutumia tendo hili la uzinzi. Hii ipo sana, hata ukipewa threesome kiroho safi fikiria mara mbili, ukiona kuna mshikaji anataka mfanye ku share mwanamke mmoja kwa kupenda kiroho safi yafaa ufikirie mara mbili,
 
Wasipoangukia pua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…