Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,316
Dah! na hii vita kiukwel labda kimasihara maana kiserous hali ishakua ngumunenda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara usiache ata coment moja pitia zote utapata idea [emoji23][emoji23]
wahi kachukue mbinu sasaDah! na hii vita kiukwel labda kimasihara maana kiserous hali ishakua ngumu
hata sms inajibiwa kwa mkato sana
Nakazia hapaKwanza kuwa tofaut na hao wenzako wakat wenzako wanamtongoza kwa pupa we kuwa cool, usiongee nae mambo ya kumtaka kabisa alaf hata Kama una namba yake usichat nae mara kwa Mara yan akuone haumshobokei kama wengne,,, ila hakikisha huachi kuwasiliana nae kwa muda mref kama anaweka status WhatsApp siku moja unamsifia ila siyo kila siku,,,, baada ya muda ukishaona wale wenye shobo wameangukia pua sasa ww anza harakat taratibu sana usikurupuke,,,
Sauti ya mwanaume hiiAchana nae wenye vitobo wapo wengi! Protokali zangu siwezi kujikomba kwa demu ambae 100% najua sio bikra
Nikufuate Pm auNjoo nikupe dawa atashtuka kashaliwa, muhimu show iwe nzur ili uendelee nae.
Hata salamu iwe ni ile tukionana sio sms wala nn cndio mkuu?Mpotezee, usichat nae, mpe salamu tu inamtosha. usiwe na shobo nae..mfanye kama sio chochote...mfanye kama mtu wa daraja la chini kwako asie na hadhi ya daraja lako. Huku kwa mbali ukichungulia hao madume wenzio wanavyopigana vikumbo kumpa tongozo.
Uzinzi ni mlango wa kufisha nguvu za asilia za mwanadamu.
Dah! bless mkuuKuna kanuni huwa naitumia huwa inasema "the last card is the scoring card". Wewe tulia hapo usijitingishe wala kuonyesha interest yoyote kwa huyk dada. Then utakuja nambia majibu. Ladies are always interested with those who have less interest with them. Ukijiunga na hao mabwege wengine utaonekana na wewe ni miongoni mwa fans wake.......so hatovutiwa na wewe. Na jitahidi usiwepo maeneo anayohang sana ili asikufahamu.
Mimi back in the day when i was a holder of certificate level ya Global players association, kuna mdada alikuja mtaani kwetu na kila kijana alijaribisha bahati yake ya kumtongoza na kumtaka but alikuwa anawajibu kama nesi. Na alikuwa ameshajiandaa kisaikolojia kuwajibu kwa shari... Mm
Walipoenda kadhaa nakuona hatongozeki wakaona isiwe taabu, wakatemana nakubakia watazamaji tu.
Mimi pekee nilikuwa sijawahi hata muongelesha wala kumchokoza, iwe ni tukikutana dukani au kwenye kichochoro. Nilimpita kama mdada yoyote. Na yeye alikuwa akionana na mimi anaweka ukauzu wa I don't care (jambo ambalo alikuja nambia kuwa alikuwa ananiaktia ila kiukweli alivutiwa sana na userious wangu na sikuwa na kiherehere kama watoto wengine wa kiume hapo mtaani.)
Kumpata kwangu ni alipo anza urafiki na dada yetu wa kazi hadi akawa anakuja home wanakaa na kupiga story. Walikuwa wanakwenda wote church na mara nyingi huyu dada wa kazi alikuwa anaenda kwao kumsaidia kazi za ndani so walikuwa mabest sana.
Siku nikashangaa naambiwa nasalimiwa. Huku na kule mzee nikaomba kuonana nae aje anitembelee (simu za mkononi zilikuwa anasa wakati huo). Alikuja nilikuwa mimi na dada wa kazi tu. So akatupisha tukawa tunapiga story. Nikaja kujua huyu binti na jeuri zote ni mpole na hanaga marafiki pale mtaani maana ni mgeni na huwa hakai nje.
So rest ndio ikawa ndio vile, akawa karibu na tukaanza kupeana...... Tulipotezana aliporudi kwao baada ya kutupiana kama miaka miwili.
Wadau mtaani wakasema nimetumia nguvu za giza kumnasa. Na nilitumia nguvu ya ziada kuwaaminisha kuwa nipo nae sababu walidhani najitamba uongo.
Mkuu[emoji42]Singa Singa unakwama wapi jamaa yangu? Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Usiaibishe jina la Singasinga, hili jina huko Tanga mimi nilikuwa naitwa Singa Singa Baharia.
Kweli mkuu hapa ni kusubir tuNakazia hapa