Hilo jambo la kukuta anachat na mwanaume mwingine nalo ni kitu kingine,najua unajaribu kulipotezea ila ukiona tu jambo linafanana na lile moyo unakufa ganzi.Ushauri wangu ni kuwa tafuta mwanamke mwingine uoe,hilo jambo la kukaa nae tu bila ndoa linamfanya aanze kufikiri ndoa nawatu wengine...
SafiNakazia. Nilitaka kuandika ulichokiandika
Janaume moja bwege sana. Hopeless kabisaNa kipindi chote hicho baada ya wale mapacha kufariki hajawahi tena kushika ujauzito imepita miaka miwili sasa na mimi nahitaji familia umri unasogea(wale mapacha wa yule nilie achana nae sijawahi hata kuwaona hivyo sina uhakika nao kama ni kweli ama lah).
[emoji1787][emoji1787]Another neck supporting empty head
HIV sio rahisi ivo mkuuhakuna kipengele umeonesha kuwa mlipima HIV...
vijana wa siku hizi hawana hofu ya UKIMWI, wanaogopa mimba tu kmmk!
Uzi uishie hapa👏👏👏Hisia kwenye mahusiano hupotea na kuja ndio ipo hivyo ni kama tu leo unahau ya kula ugali nyama unaweza kula mfululizo wiki ila wiki inayofuata usitamani tena kula ugali nyama ukatamani kula chips yai.
Kukosa hisia kwenye mahusiano ni hali ya kawaida unachopaswa kufanya ni kutafuta safari ukae peke yako au kuwa bisze na mambo mengine hadi hisia zitaporudi tena usilazimishe hisia.
😂Another neck supporting empty head
Kuna agano la kifamilia kwenu...
Agano la kifo Cha watoto.
Fanya uvunje hilo agano kwa damu ya YESU.
NB: Kama ni Mkristo, sadaka ya ujenzi wa madhabahu ndio inaweza kuvunja agano hilo.
Ikumbukwe hilo agano lilitolewa Sadaka ya kafara ya damu hivyo lazima Sadaka ihusike.