Yamenikuta na TCRA sina hamu nao, hawa watu huenda ni kweli ni butu, huwezi ku-submit malalamiko TCRA halafu wanakupiga danadana tu. Inauma Sana. Mimi nimeumizwa na HAO watu, nadhani mfumo Wao ni dhaifu sana Sana. Ukituma e-mail ya malalamiko kwa email zao hadi ujibiwe Uwe umefanya kazi