Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,502
- 1,047
Hio ni dhana tu police wetu hua hawasubui foreigners unless uwe mkono mbaya wa Sheria,did you say vurugu? Vurugu ipi ipo hapa wakati watu wenu ndio chanzo cha ukosefu wa usalama Kwa baadhi ya mitaa?.Kutoka Arusha hadi NBO kuna umbali gani?budget kitu gani wala sio lazima nikae mda mrefu,ukiamua kuja hapo hata $300 ni nyingi sana unapiga bata ikibaki nauli unasepa,Watu wengi huoga vurugu na vile polisi wenu huchachafya watz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app