Nairobi: The City in the sun

Kutoka Arusha hadi NBO kuna umbali gani?budget kitu gani wala sio lazima nikae mda mrefu,ukiamua kuja hapo hata $300 ni nyingi sana unapiga bata ikibaki nauli unasepa,Watu wengi huoga vurugu na vile polisi wenu huchachafya watz

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni dhana tu police wetu hua hawasubui foreigners unless uwe mkono mbaya wa Sheria,did you say vurugu? Vurugu ipi ipo hapa wakati watu wenu ndio chanzo cha ukosefu wa usalama Kwa baadhi ya mitaa?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufanye umeshinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa uliona vipi jiji kuu
tapatalk_1549273555056.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • tapatalk_1549273555056~2.jpeg
    tapatalk_1549273555056~2.jpeg
    223 KB · Views: 33
Back
Top Bottom