NAIROBI HALF LIFE..Movie bora E.Africa

Maarab

JF-Expert Member
Jun 21, 2017
415
253
Ni milongo 3 hivi takribani Tz tuanze Kuact Movie za Kidrama ambazo zikiwahusisha Ma actors kama kina Insp.Seba,kina Jimmy na wenzao Wengi.

ila hapo awali nildhan ili movie yako iwe nzur lazma na Vifaa viwe bora tu,na kwa hizi zetu hapa niljua kua pengine hatuna vifaa vya kutosha ndo hutupelekea movie zetu zisiwe nzur..Kumbe Laa hasha!!

Ila Kwa wenzetu Wakenya kama sijakosea wanaeza kua na Mlongo 1 tu since waanze kutamba ktk tasnia hii ya Movie..ikiwa awali alibase kwa Maigizo pekee.

bianafc niljiuliza mambo mengi Je,iweje sisi(Tz)tuliwangulia zaid ya Miongo 2..then wao wakaja fanya Sana bora kuljo sisi tulio wangulia.

The Nairobi half life ni best Movie arround all E.Africa
 
Nakubaliana na wewe buda.

Jamaa walijitahidi saana kuicheza hiyo movie. Kina Kigosi wasubiri kwa hiyo movie.

Kenyas endeleeni kutoa vitu kaa ivo mazee tutahamia kwenu.
 
Wanamtegemea Bashite badala ya ubunifu wao

Sent from my HUAWEI Y541-U02 using JamiiForums mobile app
 
creativity .....creativity .....creativity.
bila kuwa creative utabaki nyuma siku zote. Bongo movie hakuna ubunifu kabisa, ni kuiga tu muvi za west na souther afrika ambozo hata hivyo nazo ni outdated
 
Nairobi Half Life imetulia sana. Inaonesha uhalisia wa hali ya maisha ya vijana wengi na namna ambavyo wanajitahidi kusaka kipato bila kusahau tabia ya polisi kuua watuhumiwa kama cover up ya kutowajibika ipasavyo.
 
Nakubaliana na wewe buda.

Jamaa walijitahidi saana kuicheza hiyo movie.
Movie ile ili'reflect realy life yetu yaKiafrika kiasi kwamba nikasema ingekuaje Poa km kina Seba wangekua na some ideas kwa Movie kama hizo.

au itokee hawa Bongo Movie wetu wa'act Movie yaKisiasa ambayo ina refltect maisha halisi like a Hotel Rwanda unainaje hio.!!. ninge waona wako Serious na ningewapa pongezi kama hizi.

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Nairobi Half Life imetulia sana. Inaonesha uhalisia wa hali ya maisha ya vijana wengi na namna ambavyo wanajitahidi kusaka kipato bila kusahau tabia ya polisi kuua watuhumiwa kama cover up ya kutowajibika ipasavyo.
Na ilichaguliwa kwa entry za Oscar award kwa category ya foreign language.
 
Movie ile ili'reflect realy life yetu yaKiafrika kiasi kwamba nikasema ingekuaje Poa km kina Seba wangekua na some ideas kwa Movie kama hizo.

au itokee hawa Bongo Movie wetu wa'act Movie yaKisiasa ambayo ina refltect maisha halisi like a Hotel Rwanda unainaje hio.!!. ninge waona wako Serious na ningewapa pongezi kama hizi.

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Saana ni Ubunifu aseeh.. wa kwetu wamechezeana chumbani na kutishiana kupigana makofi basi
 
sijui wanaandikiana script?? hakuna ubunifu hata Chembe..unajua sio kila anae copy/paste ni hajui lah hasha..ni kwamba mtu okoteza basi hata Vipoints angalau ili ktk yakwako umzidi kidogo yule alobuni like a Chinese wanavyo fanya...Lakini sisi Waapi bwana.

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Nairobi Half Life imetulia sana. Inaonesha uhalisia wa hali ya maisha ya vijana wengi na namna ambavyo wanajitahidi kusaka kipato bila kusahau tabia ya polisi kuua watuhumiwa kama cover up ya kutowajibika ipasavyo.
B]Swadaktah"..

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
leo Kenya yaku'tushinda Sisi hata kwenye kuandaa Matangazo ya televisheni??? Mbullaa..sijui hii nchi ya namna gani bwana.

Hamna lolote ....ile ni kazi ya wazungu wakijaribu kuwafundisha wakenya nini cha kufanya.

Hakuna ubunifu wa mkenya pale.

Sizipendi bongo movie lakini ndio uwezo halisi wa wabongo bila kuingiza kichwa cha mzungu.
 
leo Kenya yaku'tushinda Sisi hata kwenye kuandaa Matangazo ya televisheni??? Mbullaa..sijui hii nchi ya namna gani bwana.

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Tatizo lenu mmekuwa ni kizazi cha kutokusoma in details na ni rahisi kudanganywa.
 
sasa itabidi ili kutuisaidia sisi wapezi wa Muvi bora za Bongo itabidi tufnye casting ya featuring kwaWazungu.

Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na wewe buda.

Jamaa walijitahidi saana kuicheza hiyo movie. Kina Kigosi wasubiri kwa hiyo movie.

Kenyas endeleeni kutoa vitu kaa ivo mazee tutahamia kwenu.
aki vile unasifia wakenya utadhani wewe sio mtizedi...kwa nini unamind vyenye kenya wafanya??
 
Hizi movie niliwatch zamani kuna nyingine ilimhusu kijana ambae alilala chini kwenye reli na train ilimpitia juu lakini aliye za kupika roho ta baba yake aliyoiuza kwa shetani
 
Back
Top Bottom