tueur de lion
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 902
- 779
Hyo movie iko poa sana lkn ina matusi sana,pamoja na hayo sisi Wa-tz hatuwez kufananishwa na Wakenya kwa lolote kwa kuwa wenzetu wanazo strategies kwa kila nyanja kuanzia uchumi hadi elimu! Huo ni mtazamo wangu tu
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app