Nairob airport

Hizo bold.... wametumia matairi kwenye nini???:biggrin1::biggrin1::biggrin1:

Mkuu Asprin, asante kwa kuliona hilo kosa, nilitaka kuandika tiles. Nitarekebisha sasa hivi.

Tiba
 
Mamushka.... kwanza mi Pako ako miss sana wewe...

Pili.... wenyewe hawaitaki hiyo blue kwenye hiyo red.

Baada ya kusema hayo, nakusalimu mama yangu.

Mi mwenyewe sipendi uitwe hivyo, ni kumdhalilisha tu mwalimu. Mschewwwwww zao!!!

mbona unajitambulisha hivyo? Unahisi nimezeeka kiasi memori imefuta?

afu marhabaa'manangu'. Naskia unagombea ubalozi?
 
Mi mwenyewe sipendi uitwe hivyo, ni kumdhalilisha tu mwalimu. Mschewwwwww zao!!!

mbona unajitambulisha hivyo? Unahisi nimezeeka kiasi memori imefuta?

afu marhabaa'manangu'. Naskia unagombea ubalozi?


Ewaaaaa.... mi mefurahi sana. Afu ukiendelea kunitenga namna hii, ntaenda kukusemelea kwa bibi.

Nlikuwa na nia hiyo mamushka, lakini wamenikata.

Safari ya matumaini imehamia upande mwingine. Watajuta kunikata, hayo mafuriko sijui watayazuia kwa nini.
 
Bado ni cha motto.. Tanzania tulikosa Dira muda kitambo hata kabla ya Kolimba kutangulia kwa MOLA
Ngoja uwanja mpya wa Dar ukamilike.. Na wao watakuwa wanapiga picha kuonyeshana.

"kitu kilichotengenezwa na binadamu kinaweza kuvunjwa na kutengenezwa tena"
 

Si ngoja tuwagawie kwanza walimu Laptop, hayo mengine baadae!
 
one thing of DAR airport you can't lost when u arrive....but Nairobi u can

Nairobi kuna Nairobi airport ambao ni mdogo unatumiwa na ndege ndogo za kitalii na usafiri wa ndani tu labda kwa special issues ni mzuri lakini sio rahisi upotee vitu vingi vipo pamoja,alafu kuna Jomo kenyata international airport huu ni mkubwa sana zaidi ya mara nne na wa kwetu hapa kweli unaweza kupotea sio masihara upo nje ya jiji kama 15km
 
Acha kujitetea, si vyema kulazimisha kuongea lugha usiyoijua, unaaibisha nchi kama ambavyo airport yetu inavyotuaibisha!


Acha ushakunaku mtoto wa kiume..utatolewa linda kunifuatafuata....ongelea mada iliyoletwa hapa kiuno wewe...sio kuja grammar zako kwangu....usichukue promo kubishana na mm humu...hunijui...Lugha unaijua kiasi gani...lugha ni mama yako/.? haya umenisahhihisha sasa nini unifutalie anzisha thread yako nime-mention tukabishane huko..sio unanifuatilia na kitu wala akihusu thread.....

Sijawi kumjibu ovyo mtu humu....lakini wewe unastahili na hii toka kwangu....Kuwa mtu mzima sio mpaka unye mfupa...mambo ya na minendo yako itakuonyesha....ondoa ujinga wako kwangu mm...akili za kitumwa peleka kuleee.....

kaa mbali na mimi tena mbali kabisa kama petrol na jikon...kiuno kabisa
 

Mkuu uwanja wa ndege za ndani hapo Nairobi unaitwa Wilson airport, hautwi Nairobi airport.

Tiba
 
Reactions: bht
Hii ndiyo lugha unayoimudu vyema na ndiyo uliyopaswa hasa kuiandika, sio kiingereza. Kumbe mashairi ya kiswahili unayaweza!!? Usirudie kuandika kwa kiingereza, unaiaibisha nchi. Watu wa dizaini zenu ndio mnaokula miwa barabarani, mnatuchafulia miji na majiji! Usiende tena airport na kandambili, ziache bafuni.
 


Lazima utakuwa unapenda nyimbo za mzee yusufu na hadija kopa si kosa lako.....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…