Mpira ulikuwa mzuri na ulikuwa huru na haki naipongeza sana Morocco imepata ushindi wa kishindo kutokana na jitihada kubwa pamoja na maandalizi mazuri waliyo kuwa nayo.
Lakini pia nampongeza sana Refa kwa kahakikisha amani inalindwa kikamilifu wakati wote wa mchezo ingawa kuna wahuni wachache walitaka kuharibu amani na nitoe onyo kali kwa wahuni wachache kutoka Tanzania walio taka kuvuruga amani bila sababu kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Asanteni sana.