Naipongeza sana CHADEMA

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,636
wakati tunasubiri matokeo ya ubunge IGUNGA kuna maeneo tofauti tofauti nchini kulikua na uchaguzi wa udiwani ambapo chadema imeibuka kidedea kata nyingi kwa kupata udiwani, CDM WAMEKUA WAKOMBOZI WA KWELI KWA KWA WATANZANIA, I WISH YOU ALL THE BEST CHADEMA. PEOPLESS POWERR
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,818
7,276
Tunaomba updates kutoka iringa,dom na mbeya kwa upande wa madiwani
 
TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,369
10,448
Hongera CHADEMA, ukumbozi wa Mtanzania utatokana na Mtanzania mwenyewe... Keep it up
 
Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
6,997
1,156
Hata huko Igunga ingawa CCM inaonekana kwua inaelekea kushinda lakini Chadema wamejitahidi sana. wameonyesha kuwa kweli ni chama ambacho watanzania wanaweza kuweka matumaini yao kwake. Nimeshangazwa na kinachotokea kwa CUF. Inasikitisha sana
 
Malabata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
255
20
Hapa njombe mambo siyo mabaya sana! Vijijini ndo wanajizolea kura nyingi Magamba! Nitawajuza usiku huu kinachoendelea
 
Mbavu mbili

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
1,446
861
wakati tunasubiri matokeo ya ubunge IGUNGA kuna maeneo tofauti tofauti nchini kulikua na uchaguzi wa udiwani ambapo chadema imeibuka kidedea kata nyingi kwa kupata udiwani, CDM WAMEKUA WAKOMBOZI WA KWELI KWA KWA WATANZANIA, I WISH YOU ALL THE BEST CHADEMA. PEOPLESS POWERR

yani CHADEMA KAMA BARCELONA FC...Kuna diwani mkuda alikuwa kanunuliwa na magamba alitokea cdm kata ya Nzovwe mbeya mjini...uchaguzi umekamilika na vyanzo vya habari vinasema CHADEMA kwa mara nyingine tena wametwaa kiti hicho cha udiwani...huu mwanzo mzuri kuelekea 2015
 
kiche

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
456
155
yani CHADEMA KAMA BARCELONA FC...Kuna diwani mkuda alikuwa kanunuliwa na magamba alitokea cdm kata ya Nzovwe mbeya mjini...uchaguzi umekamilika na vyanzo vya habari vinasema CHADEMA kwa mara nyingine tena wametwaa kiti hicho cha udiwani...huu mwanzo mzuri kuelekea 2015
Nina hamu sana na matokeo ya udiwani hapo mbeya,dawa ya mnafiki ni kupigwa chini.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Top Bottom