Naipenda Tanzania kuliko CHADEMA na CCM

Naipenda Tanzania kuliko CHADEMA na CCM

IQ M

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2015
Posts
616
Reaction score
320
Wakati zimebaki siku kadhaa tuandike historia mpya ya MAMA TANZANIA ni vyema CCM na CHADEMA wakatambua kua TANZANIA ni muhimu zaidi kuliko wao, figisu figisu zisizo na maana hatuzihitaji.

Atakayechaguliwa na watu wengi aachwe aongoze taifa hili na si kutunisshiana misuli then end of the day wanaoumia ni raia wa kawaida.nina maana yangu kuwataja CCMna CHADEMA na si vyama vingine na ninatumia uhuru wangu wa kikatiba kuandika niliyo yaandika.

Ikumbukwe kwamba tunaenda kuchagua baadhi yetu wakatuongoze katika maslahi mapana ya taifa letu.
 
Nimekuelewa mkuu cha msingi ni kuifikiria Tanzania kwanza kabla ya madaraka na vyeo.naomba niongezee kuwa sio tu kuachwa kuongoza bali pia watakaochaguliwa na wananchi pia wakatekeleze wajibu wao kama walivyo ahidi na kuapa mbele za Mungu aliye juu.
 
Tatizo ni kuwa, ni ngumu sana kutenganisha damu na nyama.Nikikwammbia ukate kilo mbili za nyama ya mtu aliye hai bila kutoa damu yake ni wazi kuwa utashindwa.
Mimi naona kama machafuko yatakuwepo kwakweli, namjua Kikwete na najua hatakubali kushindwa.
Na sisi hatutakubali kushindwa.
Nakushauri, nunua vitu vya kutosha kwa mwezi mmoja vya nyumbani.
 
Back
Top Bottom