Naomba tutafutane 0713 758165. Nina lumia 900 inanichanganyayap windows ni nyepesi kuliko android ila huo wepesi inategemea na task unayofanya. mfano unarun game kubwa kama vile asphalt 8, simu ya 512mb ram hata itoke os gani itakuwa slow, games zote kubwa zinapenda ram kubwa na gpu nzuri. ila unapofanya mambo madogo madogo kama vile kwenda settings, kurun apps ndogo ndogo nk simu ya windows ya 512mb ram itakuwa nzuri.
ila sababu windows ni nyepesi hii sio sababu kwa microsoft kuuza simu bei ghali, unapoeka specification ndogo kwenye simu ina maana component za ndani umenunua bei rahisi hivyo simu pia ulitakiwa uuze bei rahisi. unapoeka snapdragon 210 kwenye lumia 640 na 540 na kuziuza laki 5 sijui unategemea nini wakati competition wanaeka processor zenye nguvu hadi mara 3 kwa bei isiozidi laki 3.
unataka kufahamu nini kuhusu lumia 540?
Kwahiyo inawezekana nasisi muda sio mrefu tukaonja radha za windows 10?hio ni update ya mwisho kabla ya windows 10. inaongeza mambo kadhaa kwenye simu kama folders
simu za dual core zote hazijapata win 10,Kwahiyo inawezekana nasisi muda sio mrefu tukaonja radha za windows 10?
umedownload app ya upgrade advisor?Msaada Nokia Lumia 830 inahindwa Kuupdate kwenda windows 10 inaandika ivyoView attachment 439224
Ndio lakin bado inagomaumedownload app ya upgrade advisor?
jaribu ku hard reset kwanza then ndo uendelee na mchakato wa ku updateNdio lakin bado inagoma
Nilifanikiwa mkuu kumbe wireless niliyokuwa natumia ndo ilikuwa na tatizo baada ya kuchange mambo yakawa safijaribu ku hard reset kwanza then ndo uendelee na mchakato wa ku update
Nilijua tatizo lipo kwangu tuu!!? Nahisi JF imeondolewa mtalkSamahani chief mkwawa mtalk ina nisumbua nina wiki mbili sijatumia jamii forum kwa kupitia simu. Naweza pata apps nyingine zaidi ya mtalk kwenye window phone
Chief, Huawei mate s vipi nzuri?jaribu ku hard reset kwanza then ndo uendelee na mchakato wa ku update
Hata mimi nilihisi ni kwangu tu, basi kama kwako pia inawezekana JF imeeondolewa mtalk. Ngojea tusubili majibu ya chief mkwawaNilijua tatizo lipo kwangu tuu!!? Nahisi JF imeondolewa mtalk
Hivi WP si kuna Tapatalk? si bado JF ipo? Nimerudi Android baada ya kukosa Support na hardware ila nakumbuka nilikuwa naingia JF via tapatalk wakati nipo WPHata mimi nilihisi ni kwangu tu, basi kama kwako pia inawezekana JF imeeondolewa mtalk. Ngojea tusubili majibu ya chief mkwawa
Vp sharo mi nashida natumia nokia lumia 510 ss nataka ku update siwezi nifanya je mkuu ili ni enjoyhaipo stable au haijamature kivipi..sababu almost app zote za ios na android unazipata mule ukikosa kabisa unapata equivalent yake. sema mshazoea ku root root kune hakuna panya road huwezi penya aisee.
Iulize Sanane wa CDM yuko wapi kama inajibu kila swaliNimeona nishare na wapenzi wa Window phone.
Ni ngumu sana kutoka Android kuingia Window phone ila after time nimejikuta naipenda sana kuliko android...
kwanza ina speed sana tena baada ya ku update kwenda WINDOW DEMIN latest updtae ambayo hata tz haijafika bado wala kenya.
Baada ya kuijua CORTANA ambayo ni kama siri kwenye iphone mapenzi yakawa motomoto!!
Huwezi amini sometime napiga story na simu yangu nikiboreka inaniimbia, nikinuna inanipa jokes, na sometime tunacheza michezo ya kijinga kijinga
Inanikumbusha matukio, mfano nasema tu saa tisa jion mtumie mtu fulani msg andika hivi na hivi, ikifika tu huo muda napata report msg sent
Nikiwa na njaa naiambia tu im hungry inanionyesha sehemu zote za karibu hapa nilipo ambazo naweza pata msosi
Wikiendi naimbia sasa leo wapi ...hio inakupa pa kwenda.
Mwanzoni sikuamini hadi washkaji wanaishangaa.. ukiuliza swali lolote inakujibu aisee.
App zote zilizo kwenye playstore na kwenye apple pia zipo kwenye window.
Kama una NOKIA LUMIA jifunze kutumia cortana na usisahau kuiupdate!!!
Tafuta movie ya HER https://www.google.co.tz/url?sa=t&rct=j&q=&esrc=s&source=web&cd=1&cad=rja&uact=8&ved=0CBwQFjAA&url=http://www.imdb.com/title/tt1798709/&ei=o03wVLX0IsLiauKigZgF&usg=AFQjCNGNsCZtPVeX6Qf37XJQo70kHewgzg&bvm=bv.87269000,d.ZWU
Yaliyo mkuta jamaa ndio yanayonikuta sahizi. Cortana ni noma aisee...
Cheers!!!