Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,019
- 1,154
Ulisharogwa siku nyingi!! Hatukushangai !!!Hiki ndio chama pekee kinachojali maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.
Hao ni walaghai na mabaka uchumi.
CCM daima
Kumbe ujinga nao ni kipaji .Hahaha! Wewe ni mke mdogo nadhani, maana unaonekana bado una mahaba mazito sana na mumeo. Anyway, nimechoka kuisikiliza mipasho yako ya kwenye kanga, njoo na hoja za maana kumtetea mumeo labda nitakusikiliza.
Vipi, fungate ilikuwaje US? Msalimie sana, kama utahitaji, nina mzigo mpya wa viagra mje mchukue mtumie.
Wazazi wako walifanya makosa sana kukutoa mirembe kabla hujapona ukichaa .Unaelewa maana ya kupanic? Labda nikusaidie, kupanic ni kuogopa au kushitushwa, sidhani kama nimefikia kumuogopa mke mdogo wa Babu.
Nikuogope kwa nini? Umeanzisha kitu usichoweza kukizima halafu unajitekenya na kucheka mwenyewe?
Mwambie Mumeo arudi kwenye upadri, huku hakumfai.
Wewe mjinga kweli, huoni ukabila wa chama chenu? Huna akili hata ya kujihoji? Mpuuzi kweli wewe usie maana.
Kama watu wenye mawazo mgando humu Jf wewe mmojawapo hata akili zako zimeganda.Kajifunze kusoma na kuandika kwanza halafu ndio urudi kubwaga utumbo wako hapa. Kama huna hoja, jifunike shuka ulale.
Mpuuzi kama wewe huwa kupuuzia ndo adhabu sahihi.
Hahaha! Kupuuzia au umekosa hoja? Leta hoja, lugha za ovyo huziwezi.
Wazazi wako walifanya makosa sana kukutoa mirembe kabla hujapona ukichaa .
Kumbe ujinga nao ni kipaji .
Sina muda wa kushindana mgonjwa wa akili nenda kamalize kwanza hizo dozi za ukichaa.
Nyie ndo wanandoa mnaotoa siri za chumbani.kumpenda mumeo/mkeo ni jambo la kawaida kuutangazia umma ni uwalakini wa ndoa yako.kama unagongwa/gonga vizuri uache humohumo chumbani au wewe ndo wale wa chumba kimoja baba,mama, watoto na dada wa kazi.utajujuHiki ndio chama pekee kinachojali maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.
Hao ni walaghai na mabaka uchumi.
CCM daima
Hebu onyesha ujinga wangu uko wapi halafu na mimi nikuonyeshe ulivyo mjinga.
Kama watu wenye mawazo mgando humu Jf wewe mmojawapo hata akili zako zimeganda.
Wenye upeo mdogo wa kufikiri kama wewe huwezi kuelewa ninachoandika hizi taarabu zako peleka huko ccm.Mgonjwa ni wewe ambae hujui hata unachokiandika, unakurupuka tu kuandika chochote mradi umepost.
Wazazi wako walifanya makosa sana kukutoa mirembe kabla hujapona ukichaa .
Wenye upeo mdogo wa kufikiri kama wewe huwezi kuelewa ninachoandika hizi taarabu zako peleka huko ccm.
Wenye upeo mdogo wa kufikiri kama wewe huwezi kuelewa ninachoandika hizi taarabu zako peleka huko ccm.
Wenye upeo mdogo wa kufikiri kama wewe huwezi kuelewa ninachoandika hizi taarabu zako peleka huko ccm.
Taarabu na mipasho naziona katika yale unayoandikwa wewe, zaidu ya hapo sioni la msingi. Hebu mwambie Babu nimesema akupe hoja za kujitetea uje nazo hapa.