Najua hata wewe unayaandika haya lakini nafsi yako inakushudia kabisa ukweli ya kwamba unachokiandika hukiamini lakini unafanya hivyo ili mkono uende kinywani.
Hiki ndio chama pekee kinachoji maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.
Hao ni walaghai na mabaka uchumi.
CCM daima
Ulichokiandika sijakuelewa labda ubadilishe lughaHiki ndio chama pekee kinachoji maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.
Hao ni walaghai na mabaka uchumi.
CCM daima
Hiki ndio chama pekee kinachojali maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.

kidumu chama cha mafisi ccm.
Ccm wenyewe wanamwogopa raisi mtarajiwa.
Vijibwa vya ufipa vinabweka bweka ovyo bila kujenga hoja..ni ccm pekee yenye kubeba matumaini ya watz wote bila kubagua kama kampuni za kichaga na kipemba
Hiki ndio chama pekee kinachojali maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.
Hao ni walaghai na mabaka uchumi.
CCM daima
Rais nani hapo? Huyo babu? Ni rais wa Arusha na Kilimanjaro.
Fisi ni mnyama anaetambulika katika mila za kisukuma, CCM wanalitambua hilo.
Ficha ujinga mafisi kama ni mila za kisukuma mnatembea nayo kutambikia au?