Naipenda sana CCM, hutaki acha

Naipenda sana CCM, hutaki acha

aaaaaa.jpg
 
Hiki ndio chama pekee kinachoji maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.

Hao ni walaghai na mabaka uchumi.

CCM daima

Ccm wenyewe wanamwogopa raisi mtarajiwa.
 

Attachments

  • 1429791467560.jpg
    1429791467560.jpg
    36.2 KB · Views: 347
Hiki ndio chama pekee kinachoji maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi..nawashauri watz mliodanganyika na wapinzani muondoke huko.hao ni walaghai na mabaka uchumi..

Ccm daima

Safi kabisa mkuu! watu wabaki ccm maana ni chama pekee kinachopigania maslahi ya mafisadi na hata uibe mamilioni ya escrow hutashitakiwa wala kufilisiwa,isitoshe hata kama hujui jioni utakula nini kwa ukata na umasikini penda usipende utachangia ujenzi wa maabara za shule na ole wako ukatae utakiona cha mtema kuni ingawaje kodi unalipa kila saa,hata hivyo chama kiko sikivu na imara kuhakikisha mali asili zetu zinabadilishwana na gharama za ziara nje ya nchi na nje ya afrika, na kama haitoshi sisi CCM tumehakikisha na tutahakikisha shilingi ya Tanzania mpaka ifike mwishoni mwa mwaka huu itaanguka mara asilimia sitini kwa hapa ilipo! jamani CCM hoyeeeeee!!! pigeni makofi jamani, au hamtaki kanga, kofia na tisheti jamaaniii enh!!!
 
Najua hata wewe unayaandika haya lakini nafsi yako inakushudia kabisa ukweli ya kwamba unachokiandika hukiamini lakini unafanya hivyo ili mkono uende kinywani.
 
kwa vyovyote vile iwavyo utakuwa kafisadi wewe kama sio katoto ka jifisadi.
 

Mheshimiwa Nyalandu, nakuomba unipe ufafanuzi kuhusu umiliki wa huyu mnyama pori na matumizi yake kwa mujibu wa sheria za nchi,Katiba pamoja na sheria zinazopambana na ujangili. usipofanya hivyo, je nitakuwa na haki ya kukutambua kama kiongozi asiye na msimamo na hufai kuwa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania!!? si egemei siasa hapa na egemea haki na uhuru wa viumbe wanyama pori kama huyo fisi
 
Hiki ndio chama pekee kinachoji maslahi ya wanyonge.maskini na walalahoi. Nawashauri Watanzania mliodanganyika na wapinzani, muondoke huko.

Hao ni walaghai na mabaka uchumi.

CCM daima

Umechizi nn?, kwa maisha haya wanatujali nn ss
 
Back
Top Bottom