NAIPATAJE TIN NUMBER

Kishnajr

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
418
Reaction score
413
Habr zenu wadau,km kichw knavojieleza hapo, kuna kaz ya usafi nataka niombe wa ktk vigezo vyao wanasema niwe na TIN number,kwhyo nawauliza wadau kwa yyte anaejua inakopatikana!! Na mchakato wake ukoje.
 
Una kitambulisho cha taifa au namba yake?
Unaweza kwenda ofisi yoyote ya tra au ingia tovuti ya tra uombe online
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…