Naipataje simu ya android iliyoibiwa?

no nm

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
212
Reaction score
32
Naombeni Msaada tafadhali, ni TECNO H6!

Ahsante
 
naombeni Msaada tafadhali, ni TECNO H6
Ahsante

Ingekuwa iPhone uhakika wa kuipata ni asilimia 90..
Huwezi kuipata tafuta hela ununue simu nyingine mkuu..
Hili swala la kuibiana ndo limenifanya ni root s4 yangu..
kcamp pitia hapa labda unaweza msaidia jamaa....
 
Last edited by a moderator:
Jaribu bahati yako, search device manager android then ingia website ya android device manager. Login na acount yako ya google halafu itrack simu. Kama hajaiformat na hajaizima unaweza mpata
 
Jaribu bahati yako, search device manager android then ingia website ya android device manager. Login na acount yako ya google halafu itrack simu. Kama hajaiformat na hajaizima unaweza mpata

Mkuu Mimi Majuzi Nimetuma Kwa Basi Iphone Yangu 6+ Kwenda Dar Kuna Mteja Alikua Anaitaka, Sasa Jamaa Niliempa Aisafilishe Kumbe Kashukia Kimara, Toka Juzi Mpka Leo Apatikan, Jana Nimeingia Icloud Nimekuta Ipo Wazi Na Inaonyesha Ipo Tabata Segerea Mimi Nipo Dom Nilitaka Niiloki Ila Nimesita Coz Nahisi Nikiiloki Naweza Nisiipate Nimepanga Kutoka Hapa Dom Kwenda Kutrack Tuu Na Kumbama Nayo Huyo Jamaa. Hivi Mkuu Jama Anaweza Kuitoa Iclouds?? Navyojua Mimi Kuitoa Ni Kma Aiwezekan.
 
kwa iphone shaka ondoa kabsaa we tulia tu hapo nenda dar ukaifatilie ukiwa na juis pemben laZma uipate iphone haina mjanja mzee
 

Ushamkamata mwizi wako.. Hata usiwaze sana... ... Icloud hatoki hata kwa uchawi......
 
Ushamkamata mwizi wako.. Hata usiwaze sana... ... Icloud hatoki hata kwa uchawi......

Real?? Hata Mafrends Wameniambia Hivyo But Kuna Wengine Wanadai Kuna Wataalam Wanaweza Itoa Icloud.
 
Jaribu bahati yako, search device manager android then ingia website ya android device manager. Login na acount yako ya google halafu itrack simu. Kama hajaiformat na hajaizima unaweza mpata
Ili aweze kuipata inatakiwa ile icon ya GPS iwe imewashwa vinginevyo hutaweza kuipata kwa njia ya kutrack.
 
Ili aweze kuipata inatakiwa ile icon ya GPS iwe imewashwa vinginevyo hutaweza kuipata kwa njia ya kutrack.
Google huwa wanaomba ruhusa siku ya kwanza ukiactivate simu/kureset labda uwe uliwakatalia
 
Wewe tulia tu hata mwakani ukiamua kuitafuta utaipata tu labda aivunje vunje!
 

= Aisafirishe
 
Dadavua kidogo.....umeipataje? Mwizi kairudisha au ulitoka Dom kwenda Dar leo?

Airudishe Wapi Ndugu, Nimemfata Leo Dar, Nikiwa Pamoja Na Laptop, Icloud Ilikua Inanipa Raman Mahali Ilipo, Nilipofika Hapo, Kwenye Pc Kulikua Na Option Ya Kuifanya Iitee "PLAY SOUND" , Inshort Hapo Ndipo Nilipotumia Na Simu Ikaanza Kuita. Niliemkuta Nayo Ndie Huyo Huyo Niliempa Aisafirishe.
 

Utamu wa iPhone ni hapo tuu....
 
Utamu wa iPhone ni hapo tuu....

Yap Mkuu, Na Android Wangekua Na Security Kma Hii.... Ingekua Poa Ila Kuna Application Moja Kwa Android Nayo Inaweza Kumkata Mwizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ