Naiona Chanjo Itakuja Kuwa Kama NIDA

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Wakuu Nimewaza Mbali Sana Kwamba Utafika muda Chanjo itakuwa kama Vitambulisho Vya NIDA Vile.

Sasa Hivi Tunabembelezana na Kuambiana ni Hiyari ila utafika wakati tutakimbizana na Kuitafuta Kwa Nguvu Sana.

Mimi Leo NimeFanya Booking ya Kuomba Kuchanjwa Ila Sasa Kama Chanjo Ni Hiyari Kwa Nini Kuwe na Masharti Kwa Wanaotaka Chanjo?

Kwa Nini Mtu anaetaka Chanjo Asifanye Booking mpaka Kuwe sijui Watu Wa Afya, Watu Wenye Umri kuanzia 50+, Watu Wenye Matatizo ya Afya Pekee?
 
Mifuko ya plastiki, nida, chanjo ni maandalizi ya kitu kikubwa zaidi.
 
Wakuu Nimewaza Mbali Sana Kwamba Utafika muda Chanjo itakuwa kama Vitambulisho Vya NIDA Vile.

Sasa Hivi Tunabembelezana na Kuambiana ni Hiyari ila utafika wakati tutakimbizana na Kuitafuta Kwa Nguvu Sana.

Mimi Leo NimeFanya Booking ya Kuomba Kuchanjwa Ila Sasa Kama Chanjo Ni Hiyari Kwa Nini Kuwe na Masharti Kwa Wanaotaka Chanjo?

Kwa Nini Mtu anaetaka Chanjo Asifanye Booking mpaka Kuwe sijui Watu Wa Afya, Watu Wenye Umri kuanzia 50+, Watu Wenye Matatizo ya Afya Pekee?
Wewe ndiyo unaliona leo?
 
Mimi naona wewe ndio umechelewa kutambua hili,ila ndio uhalisia wa hili jambo.
 
Upo sahihi, maana Covid ninkama tutaishi nayo kwa muda kidogo...
 
Sema ni maandalizi ya upigaji. Wapigaji wameshajiandaa kuuza vyeti feki kwamba mtu amechanjwa, vishoka wa kuandikisha wanaohitaji chanjo, n.k orodha ni ndefu ila upigaji unakuja.
 
Back
Top Bottom