Wataelekea wao CHADEMA itasimamaKutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.
NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.
Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
Dua la kukuKutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.
NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.
Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
Pole unapoteza muda alafu unaandika pumba, hivi kwa akili yako nani anayoitaka ccm au mafisi zaidi ya kuwanunua,eti wamekosa pa kupumulia hivi wapi pana Uhuru wa mawazo,hivi kuna sehemu hatari kama ccm ulisema kumpinga mwenyekiti unashughulikiwa alafu unaleta pumba hapaKutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.
NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.
Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
Hata Wewe unaweza Ukawa 'Mchawi' maana hamuaminiki Nyie Chadema!
siyo bure unamakengezaKutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.
NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.
Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
VIP hela za manunuzi bado zipo?Kutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.
NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.
Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
Kutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.
NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.
Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
Chadema haiwez kufa, bali naiona ikiimarika zaidi kinyume na matarajio ya wanaccm.
Muda utasema.
Ukisinzia na kuota kwenye daladala utajikuta unajamba.Kutokana na yanayotokea Chadema ni wazi kuwa inaelekea kuzimu. Ukisoma mandiko ya Malisa GJ na Yericko Nyerere makada wa Chadema huko facebook, utagundua kuwa kuna wanachadema wengi hawakuridhika na ujio wa Lowasa ndani ya chama japo wanajikaza kisabuni hawana mahali pa kutema hiyo nyongo.
NINI KINATOKEA SASA?
Si kwamba wanaohama (kwa rushwa kama inavyosemakana) wanapenda sana rushwa (kama inavyodaiwa), La hasha ila yawezekana ni kwasababu wamepata mahali pa kupumulia kutokana na nyongo waliyoibeba vifuani mwao kwa kipindi hiki chote. Pia yawezekana wapo wengi wanatamani kutoka ila bado wanapima upepo.
Ni wakati muafaka wa Chadema kujiuliza sasa tena bila kuona aibu "JE, LOWASA ALIKUWA ASSET AU LIABILITY?"
Mnaongozwa na wasio na akili na wasioweza kufikiri zaidi ya mihemuko yao. Watanunuliwa watu wasiofika hata 1000 (ambao ni wachumia tumbo tu, wangeweza kwenda popote kwenye utamu) na kujipa kichwa kwa takwimu hovyo za TWAWEZA. Pesa za kuwanunua wale milioni 6+ walioutaka upinzani 2015 na wengineo wanaoendelea kutimiza sifa za kupiga kura kila uchao watakuwa nazo?