Naiona ACT Wazalendo ikipanda kwa kasi huku CUF ikishuka kwa kishindo

Arabi Nanjewa

JF-Expert Member
Sep 22, 2017
325
410
Kumekuwa na sintofahamu kubwa sana kati ya wanasiasa na wanaharakati mbalimbali juu ya kinachoendelea katika siasa za upinzani nchini. Wote tutakubaliana kuwa kwa sasa vyama vya upinzani nchini ndo sehemu pekee ambayo ni kimbilio la vijana wengi hasa wasomi katika upande wa Siasa.

Ila kimbilio hili limekuwa na manufaa makubwa kwa upande wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA. Kwa siasa za mfumo wa vyama vingi vijana ni haki yao ya msingi kujiunga na chama chochote cha siasa kwa mujibu wa katiba ya JMT.

Kwa upande wa vyama vingine imekuwa vigumu sana kuwa na ongezeko la wanachama kwa mfano vyama kama jahazi asilia, TLP, CUF, ACT nk. ila kwa mujibu wa historia ya hali ya kisiasa chini vyama kama CUF na TLP vimepoteza mvuto kwa kiasi kikubwa sana.

Mfano chama cha CUF ambacho watanzania walikifahamu mwaka 2000 leo hakipo tena kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo migogoro ya ndani iliyoibuka mnamo mwaka 2016.

Migogoro hii inagawa chama makundi mawili ambayo badala ya kuwa busy kwa kuongeza wanachama inapoteza muda kufuatilia kesi mbalimbali zinazofunguliwa dhidi ya pande hizo mbili. Kwa mantiki hiyo sasa imeweka nafasi kwa upande wa ACT WAZALENDO kujiimarisha kisiasa.

ACT imekuwa chama mbadala kwa sasa hususani kwa vijana wengi hasa wasomi wa vyuo vikuu. Na hii ni kutokana na ukweli kwamba inafanya siasa safi, haiamini katika mtu badala yake inaamini katika sera.

Inafanya uwekezaji mkubwa hasa vyuoni kwa ajili ya kuvuna wanachama ukiwatoa CHADEMA. Hivyo ni imani yangu kuwa mpaka kufikia 2025 ACT wazalendo kitakluwa chama kitakachoongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni.

Kwa upande wa CUF watu wanapoteza mvuto nayo kwa kuwa ni vigumu kwa watu kusawishika nao klwa sababu ya migogoro inayoendelea ambayo imewagharimu na itaendelea kuwagharimu kama hawatakaa meza moja. Tunahitaji kuiona CUF ile ya prof. lipumba ngangari ambayo ilikuwa tishio kwa chama tawala.

Hivyo maalim seif na prof. Lipumba kaeni meza moja mrudishe chama kwenye nafasi yake kisiasa.
 
Nilian

Hivyo maalim seif na prof. Lipumba kaeni meza moja mrudishe chama kwenye nafasi yake ki

Niliandika haya mda mrefu leo yametokea kama yalivyo
 
Back
Top Bottom