Naiombea Simba leo ifungwe

Naiombea Simba leo ifungwe

Naomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi
Kunywa maji mengi, Pata na muda wa kupumzika. Utanishukuru baadae
 
Naomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi
Naungana na wewe Tena wafungwa kipigo Cha AIBU
 
Naomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi
Matumizi mabaya ya maombi. Hakuna haja ya kuomba, litafungwa tu.
 
Kwahiyo Yanga wao hukuwaombea kufungwa kwasababu waliweka post ya kuomboleza waliouawa October 29-30?
 
Naomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi
Mkuu mungu wako kakusikia
 
Maombi yamefika kiti cha enzi.

Leta ombi lingine.
 
Back
Top Bottom