halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,101
- 5,266
Mkuu. Nilishaweka uzi hapa unaoitwa"cable za kibalozi". Umetokea wikileaks na unazungumzia misaada Nyerere anaomba Marekani. Waziri wake Malecela ndio aliyekuwa mpiga debe wake wa kuomba misaada. Hiyo ilikuwa mwaka 1974-76.
Sio tu habari za mawasiliano ya kibalozi yanaonyesha Nyerere anaomba msaada wa chakula bali pia msaada wa kujengewa barabara, zahanati na hata majenereta ya umeme na mafriji. Na Malecela aliomba sana waje wenyewe waone jinsi Tanzania inavyohitaji misaada. Na maofisa wa Marekani wakaja na kutoa misaada mingi tu.
Pia, muhimu zaidi, viongozi wa ulaya wakija Tanzania, hasa kutoka Skandinavia na Uholanzi, Nyerere sio tu anaomba msaada ili ailishe wananchi wenye njaa kali vijijini bali pia anawaombea msaada viongozi wa Msumbiji, Angola na nchi nyingine zilizokuwa zinagombania uhuru wao kwa wakoloni ili waweze kujikomboa na kulisha jumuia yao nje ya nchi zao.
Yote tulikuwa hatujui, tunalishwa propaganda na RTD.
Ila Nyerere apologists husema kuwa hali mbaya ya uchumi ilitokana na vita vya kagera. It's BS.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Dhamani hamukuwaga na Fesibuku nyoo
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app

Umezimiss Sukari guru za mia mia eh
Rudi utumwani.
Utumwa ni mfumo wa maisha wamebadilisha staili. Zamani walikamatwa wakafanyishwa kazi na mnyapara wakapewa chakula wale wasife.
Leo unatoka mwenyewe Mbeya unafanyishwa kazi na bosi unalipwa visenti ule ili usife.
Ngoma droo. Hasa kama umeenda Ulaya kubeba boksi.
Hivi baada ya vita vya Iraq uchumi wa Marekani ulikuwa kama wa kwetu baada ya vita ya Kagera? Kama sivyo ulitegemea ni Mmarekani yupi angepanga foleni kusubiria dawa ya meno ama sabuni? Ndio Marekani iliyumba kiuchumi lakini sio kwa kiwango hichohuko Marekani ulishaona watu wamekaa foleni kusubiri kununua sabuni mbuni, mafuata ya taa, dawa ya mbu, mkate wa Siha, n.k?
Matusi ya nini kwenye hoja za watu? Hivi baada ya vita vya Iraq uchumi wa Marekani ulikuwa kama wa kwetu baada ya vita ya Kagera? Kama sivyo ulitegemea ni Mmarekani yupi angepanga foleni kusubiria dawa ya meno ama sabuni? Ndio Marekani iliyumba kiuchumi lakini sio kwa kiwango hicho
Nyerere walimsusia kwa sababu hakutaka kutimiza sharti la kufungua uchumi wa nchi iwe huru na kuwapa wananchi sauti na kuwa na uhuru zaidi.Hata sioni cha ajabu Nyerere hakuficha kuwa alichukua misaada. Ila kufanywa mpumbavu kwa sababu ya hiyo misaada ndio aligoma na ndio maana baadae walikuja msusia kama wanavyomfanyia Mugabe.
Hauwezi kufananisha uchumi wa nchi ya kitajiri na ya kimasikini.Mkuu uliyumba zaidi ya ulivyoyumba uchumi wa Tanzania. Ilikuwa benki zife. Watu wanaachishwa kazi kwa maelfu ndani ya siku moja. Kilichowaokoa ni kuwa walikuwa na solution ya haraka haraka Nyerere hakuwa nayo na hakuwa na wakumsaidia.
Wafadhili walimpa masharti ambayo aliyakataa akasema hatageuka nyuma awe jiwe. Mwinyi alipoyakubali masharti alitoa hotuba kuwa ni masharti makali kama mwiba lakini hatukuwa na budi.
Tatizo sio misaada wala masharti ya IMF tatizo ni mijizi inapoiba na kuhujumu pesa za misaada halafu haichukuliwi hatua yeyote. Jitu limeiba adhabu ya kubwa ni kujiuzulu au kuhama chama. What the hell....
Mkuu. Nilishaweka uzi hapa unaoitwa"cable za kibalozi". Umetokea wikileaks na unazungumzia misaada Nyerere anaomba Marekani. Waziri wake Malecela ndio aliyekuwa mpiga debe wake wa kuomba misaada. Hiyo ilikuwa mwaka 1974-76.
Sio tu habari za mawasiliano ya kibalozi yanaonyesha Nyerere anaomba msaada wa chakula bali pia msaada wa kujengewa barabara, zahanati na hata majenereta ya umeme na mafriji. Na Malecela aliomba sana waje wenyewe waone jinsi Tanzania inavyohitaji misaada. Na maofisa wa Marekani wakaja na kutoa misaada mingi tu.
Pia, muhimu zaidi, viongozi wa ulaya wakija Tanzania, hasa kutoka Skandinavia na Uholanzi, Nyerere sio tu anaomba msaada ili ailishe wananchi wenye njaa kali vijijini bali pia anawaombea msaada viongozi wa Msumbiji, Angola na nchi nyingine zilizokuwa zinagombania uhuru wao kwa wakoloni ili waweze kujikomboa na kulisha jumuia yao nje ya nchi zao.
Yote tulikuwa hatujui, tunalishwa propaganda na RTD.
Ila Nyerere apologists husema kuwa hali mbaya ya uchumi ilitokana na vita vya kagera. It's BS.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Matusi ya nini kwenye hoja za watu? Hivi baada ya vita vya Iraq uchumi wa Marekani ulikuwa kama wa kwetu baada ya vita ya Kagera? Kama sivyo ulitegemea ni Mmarekani yupi angepanga foleni kusubiria dawa ya meno ama sabuni? Ndio Marekani iliyumba kiuchumi lakini sio kwa kiwango hicho
Upo sahihi kabisa.Hii ni kweli ila kumbuka....kwa sisi tuliokulia hapa Dar huo mwaka 1976 hatukuwahi kupiga foleni kununua sabuni mbuni, au sukari guru.....hizi za foleni zilikuja mwaka 1978 na uanzilishi wa maduka ya jumuiya/ujamaa/ushirika (unakumbuka hii) yalianza hapa.
Zama zimebadilika mkuu hiyo ilikuwa yako yetu hii mbona bado iko poa
Kuna barabara za kufika tuendako
Mawasiliano ya sim
Shule huru(binafsi)
Sawa viwanda vimepungua ila bidhaa zipo angalau kutokana na soko huria
Nk
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app