Naililia Iramba na umaskini wake! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naililia Iramba na umaskini wake!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by utiyansanga, Nov 4, 2010.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikitiswa sana na matokeo ya uchaguzi wa majimbo ya Iramba yaliyompa KIKWETE NA WABUNGE WAKE ASILIA ZAidi ya themanini.Ni wazi katika wilaya ambayo serikal imeisahau ni Iramba ,ACHILIA MBALI BARABARA ILIYOJENGWA AMBAYO NI YA KITAIFA,LAKINI HALI YA UCHUMI NI MBAYA,WATU WANAKESHA WAKITAFUTA MAJI YA KUOGA LAKIN BADO WANAIPA CCM ASILIAMIA 80!Kunahitajika utafti kujua chanzo cha hali hii,pengine hao asilimia 50 ambao hawakupiga kura ndio wapinzani wa serikali !sasa wanampinga nani kwa kutopiga kura ,AFADHALI WENZENU WANYATURU WANA WABUBGE WAFADHILIdewj na nyalandu, NYINYI JE! Vijana wa iramba amkeni,kuanzaia likizo ijayo nitajitolea kutoa elimu ya uraia na kujitambua haiwezekani tukwawa tunashangilia mapinduzi mikoa ya wenzetu ! mashirika ya hiari nendeni Iramba,Tundu lisu watani zako tunakuangusha!
   
 2. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utafiti wa nini...waliolala waongezee blanket ya pili usingizi ukolee fofofofo!
   
 3. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mbii mbwane! Ni vizuri umeahidi kufundisha uraia mkoani kwako. But nijuavyo hata mikoa mingine kama Arusha wapinzani wamepata mbunge mmoja ama hamna kabisa. So ni bora hata ya sisi. Kuna mikoa mingine pia CCM hawajapata kitu kama ukienda kule Pemba, nk. Kuna mikoa mingine pia Chadama wameambulia patupu, zaidi hata ya Singida. Ndugu yangu badala ya kumsifia Tundu Lisu ni bora kufanya upembuzi yakinifu. Ninachosisitiza pia sio majimbo kwenda upinzani bali utendajiwa mbunge, awe Chama Tawala ama pinzani. Kuna wabunge Iramba naamini wanaweza wakawa wazuri kuliko hata Tundu Lisu. Kuyaamrisha mashirika ya hiari yaende Singida si hoja bora kwani pia ni kuyadhalilisha mashirika ambayo tayari yapo Singida yakitekeleza ukisemacho. Zaidi nakuhakikishia Tundu Lisu hana tija sana, subiri utaona.
   
 4. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa Mayu ,NGOJA TUONE!Elfu 2005 ilikuwa haya haya.lAKINI MIMIMKINACHONISHANGAZA NI % WANAYOPATA CCM hivi ni kweli hakuna mawazo mbadala kiasi hicho,MAENEO UNAYOZUNGUMZIA YANAFANANA NA IRAMBA ,PWANI,TABORA ,DODOMA,SONGEA NK .usihusishe rungweau kyela kule wana chagua watu!Nipe CV YA MBUNGE MTEULE WA IRAMBA MASHARIKI NIANZE KUWA NA MATUMAINI KAMA WEWE!
   
 5. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Huyo mama ni mzuri. Ametoka kwenye Ukuu wa Chuo cha Ualimu (I think Bustani). Nina anaweza kufanay vizuri kuliko Msindai kama hatazingwa na ....... Tundu Lisu ni mzuri lakini pia ni mbishi wa bila sababu. Kila kitu anakipeleka anavyotaka yeye. Anyway nasubiri utendaji wake, ila sio uropokaji wa kichochezi kama wa Marando.Marando utadhani si mwanasheria bwana!
   
 6. Bingwa wa hoja

  Bingwa wa hoja Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh ! teh! teh! kikwete kashinda bana ndo hivyo tena vumilia tu kaka jk ni moto chini 2010-2015
   
 7. Democrasia

  Democrasia Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Feb 1, 2008
  Messages: 80
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Naomba hawa watu wa Iramba na singida kwa ujumla msiwaguse tena maana tumewaelimisha vya kutosha, waache watoto wao waendelee kuwa mahouse girly wetu pamoja na mahouse boy
   
 8. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tusiwaguse !hapana tunahitaji jamii yenye maendeleo ndugu yangu !AVANTU nimekusoma samahani nilihitaji zaid kumjua MWIGULU,huyu mama alikuwa mshindi tangu 2005 tusubiri kazi yake
   
 9. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mbwanewe Utiyansanga,

  Si alikuweppo Leornard Shango akiwa Chadema wakati upinzanii ulipoanza? Leo hii nasikia ukifika Kiomboi, Ulemo hata huku Nkungi na Iambi ukisema "Upinzani mpo" wanakushangaa, kila mtu kavalia jezi za Yanga.

  Nimeyaona mwenyewe mwaka jana, kila kona ni picha za Mkapa, Kikwete, Mwini na Nyerere. Itachukua muda sana kwa Iramba kubadilika, muulize Kitila Mkumbo na Chumvi Mtembezi.

  Nasongelyie
   
 10. B

  Brandon JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumbe antua ane ingi munu! Tunu mao kunshetu nkia duu!

  Jamani tufanyaje ili tuikomboe wilaya yetu kimaendeleo! Inasisikitisha sana sana.
   
 11. B

  Brandon JF-Expert Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mbii mbwane uwe,mpola za kunshenuu!
  Nasikia salome ni mama mwenye muelekeo mzuri sana,tumpe muda tuone utendaji wake before hatujaanza kumuhukumu.
   
 12. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180
  Mbona mnapenda kuendeleza myths hapa JF. Watu waliotoka kwenye majimbo ambayo yamechagua wagombeaji kutoka CCM wanaonekana kama inferior.
   
 13. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyu Lameck Mwigulu ni kijana wa UVCCM singida na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM taifa kupitia UVCCM mkoa wa Singida alipita mwaka 2008.
  HUYU NI Kijana Uchumi mwenye M.A in Economics from chuo kikuu cha Dar es salaam,aliwahi kuwa muhadhiri Msaidizi pale kabla ya kwenda kuwa mfanyakazi wa pale kwa Prof BENO NDULU.
   
 14. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hakuna kura halisi hapo,
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  hiyo haisaidii.

  Tundu Lisu lazima aongoze mashambulizi kuikomboa Singida.
   
 16. O

  ODD Member

  #16
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Matokeo hayo hayashangazi sana , kuna wakati humu Jf niliwaambia kuwa umasikini wa watu wa Singida kushaushiwa na vitu vidogo watu wakapiga KELELE SANA na kunituhumu kuwa na chuki nao. Sasa ungetengemea nini wakati t-shirt,kanga, mashati ,kofia zinatolewa bure. watu bora wapate vitu hivyo waendelee na maisha.

  suluhisho sio NGO zifanye kazi , watu wa Singida hawapendi kuendeleza kwao , wakienda mjini huwarudi kwao kujenga, kuanzisha biashara anayebisha asema. Mji wa Singida haukuwi
  . Singida kuna hasa madini has Iramba na Manyoni , ardhi ya rutuba lakini wanaishi hawana vitendea kazi , Vijana wasomi hawana msaada wowote na maendeleo ya nyumbani kwao kuwasaidia wazazi wao.

  Tundu Lissu , Nyilandu , Lameki , Mama Mwandu na Dewji jitahidini sana na monyeshe mfano ili vijana wengine wenye uchungu na maisha ya Singida kwa Ujumla na waliopigika sana mshirikiane noa bila kujali itikandi ili kuleta maendeleo .
   
 17. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #17
  Nov 5, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba sasa tufunge mjadala huu ,majadiliano ya watu kumi na tano yanadhirisha kuwa Iramba inatatizo,tunahitaji kuikomboa bila kujali itikadi zetu.Tuendelee kupambana ! MWASONGELA SANA , KARIBUNI TUUNDE IRAMBA VISION.
   
 18. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bila shaka unalegezwa nati wewe...
   
 19. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nikishalegezwa huwa nakuja nakulegeza wewe pia! Huwa unajisikiaje? Sema hadharani
   
 20. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  La kuunda Iramba vision ni zuri. Nafikiri utaliasisi! Tupo tayari
   
Loading...