Ulitakiwa kuikataa NSSF na kujiunga mfuko mwengine.Kuikataa CCM kwa sababu ya NSSF ni kuionea.
nakuhakikishia kwamba serikali ya UKAWA itafagia uchafu wote nchi hii , mawakala wote wa kizushi , sijui yono , majembe etc tutafutilia mbali .NSSF Pale Hapaguswi, Nasikia Kuna Tatizo Sugu pale, Ila Wafanyakazi Wanaogopa Kuliweka Wazi tu. Mh. Lowassa Ukiingia Ebu Pafanyie Utafiti NSSF Kuna Tatizo Watu Hawasemi Tu.
Haha..nasikia kuna watu wamekwenda hadi labour..jamaa wakagwaya...Hujasikia Wale jamaa wa daraja wamegoma...km tunasoma humnu NSSF ndio inafadhili wasaliti wa nchi hii na wengine unadhani kuna hela ya kutoa.Pengine ukaanzalie huduma za afya mnazopew amankatwa sh ngapi?Unadhani ni bure km wanavyotangaza?Kaangalie hizo bei uone kwanini hukuaamua jilipia tuu mwenyewe ili upate huduma za kufaa kwa bei isiyo ya kifisadi.JIbu ni kwamba ukijitoa kabla ya muda wa kustaafu watakata ukichelewa ecti wanaziacha.Una hakika gani NSSF itakuwepo baada ya dau na hooligans wake?Kiukweli Mimi nampigia Lowassa ili angalau asaidie hii mifuko ya jamii hasa nssf kuheshimu wafanyakazi. Madharau yamezidi na nadhani serikali inawabeba:A S confused:
Mkuu, ni sahihi kabisa kuikataa ccm kwa sababu yoyote ile.Ulitakiwa kuikataa NSSF na kujiunga mfuko mwengine.Kuikataa CCM kwa sababu ya NSSF ni kuionea.