iyo ni kutafuta cheap popularity
Hapana mkuu, ni waziri mtoto, labda kama ulimaanisha ni waziri kijana wa uvccmHakuna tatizo ni waziri kijana
Hivi kuna wakati anavua hiyo skafu?
vp mkuu KABILA nalo halichangii tabia ?km kupenda sifa,nkJamaa anaipenda Tanzania kuliko Tanzania inavyompenda yeye teh teh thanks God sikuzaliwa na tabia za kupenda sifa kama huyu jamaa ila nadhani mazingira uliyokulia yanachangia kwenye tabia za ukubwani