Naibu Waziri wa ELIMU: Acha cheap popularity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu Waziri wa ELIMU: Acha cheap popularity

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CHUAKACHARA, Feb 19, 2012.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Wapendwa,
  It is a pity kuwa naibu waziri wa elimu kwa kutafuta cheap popularity anamtelemsha cheo Mwalimu Mkuu wa sekondari huko Korogwe bila kumsikiliza ili aonekane anafanya kazi. Unakuwa driven na mganga wa kienyeji, maji marefu unamhukumu mtu!!!Huwezi kumhukumu mtu bila haki yake ya kisheria ya kusikilizwa!! Mnawakatisha tamaaa hawa watu. CCW liangalie hili mlikomeshe. walimu mtaonewa mpaka lini. Inabidi usikilizwe kabla ya kukuhukumu. Hopeless!!
   
 2. k

  kuzou JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  uzi upo nusu haueleweki,nagoma kuchangia
   
 3. S

  Selungo JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  HESHIMA MBELE MKUU!

  Ingawa nipo mbali na Bongo, nami nimezipata habari hizi jana. Ni shule ya sekondari Mkomazi.

  Tatizo la viongozi wa serikali hii ya MAGAMBA wameshindwa kutatua matatizo yanayo likabili taifa kwa ujumla. Kilicho baki kwao ni ku-deal na matokeo ya matatizo badala ya ku-deal na chanzo cha matatizo. Hivyo, kwa kwa sasa njia waliyo nayo ni kutafuta mchawi ili wambambikizie kwamba yeye ndiye chanzo cha kushindwa kwao.

  Ili siri iliyo vuja baada ya kile kikao cha majumuisho yao pale H/shauri Korogwe jumamosi ya tarehe 18/02/2012, Mheshimiwa alikuwa ameenda KUZINDIKWA na Profesa Long Water ili asije tupwa kwenye mabadiliko ya baraza lamawaziri lijalo.

  Hivyo, ili kuficha ukweli, jamaa kaona atafute issue itakayo vuma kwa haraka ili aonekane ni kweli amekwenda Korogwe kikazi, na hatimaye kumshusha cheo mkuu wa shule.

  Jamaa wanakwambia chale za kuganwa zilikuwa mbichi kabisa hiyo j'mosi ya 18/02 mkutanoni.

  Magamba kazi wanayo.

  Nawasilisha.
   
 4. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haaaah haaah dah CCm bana kumbe uchawi kwao ni important issue.
   
 5. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Eti anataka kuiga utendaji wa Naibu Waziri wa TAMISEMI Aggreu Mwanri. Tatizo huyu Mulugo kisomo not reacheable kabisa, anakurupuka tu na hajui gharama ya mambo anayofanya
   
 6. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  hii kali
   
 7. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hiyo "natural justice" imetusaidia nini kwa mafisadi na wezi .Binafsi na muunga mkono kwa maamuzi aliyofanya na yasiishie kwa dagaa tu.Hii iwakute pia maafisa elimu wabovu na wezi.Tuache tabia ya kulalama kila wakati. Asipo chukua maamuzi ooooh kiongozi/serikali legelege akichukua hatua oooooh ,the right to be heard haikuzingatiwa. Kweli watanzania walalamishi.

  Ndio maana Nabii Issa (Yesu) aliwambia watu wake "enyi kizazi cha nyoka, nitaishi hivi na nyinyi mpaka lini?
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  The way alivyo na style ya hair-cut utafikili ni wazee wa miaka 1903.
   
 9. N

  NGANGU Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni wakati wa kufanya maamuzi makini.....naibu waziri ameonesha mfano....kwa kweli mimi nimekuwa nasubiri kwa muda mrefu kuona yatokee hatimaye faraja imefika
  nafikiri alistahili habari kutoka chanzo hakika ni kuwa mwalimu huyo amekuwa na mapungufu mengi
  1.kabla hajahamia mkomazi huko alikotoka alishawahi kugombana
  2.baada ya kuhamia hapa amekuwa na ugomvi na walimu na wengi wamemkimbia
  3.hajali maslahi ya shule alipohamishiwa hapa mkomazi amegushi nyaraka na kujifanya amekaa hoteli yeye na familia na kuftumia fedha za kununulia vitabu kulipia gharama za hoteli hii haiwezekani
  4. Jumla ya shilingi milioni 7.5 hazijulikani zipo wapi na amrkuwa anakataa viongozi wa bodi na kata kufika shuleni mili aendelee kuficha maovu
  5.kwa sasa bodi ya shule haimtaki, wananchi hawamtaki na viongozi wa kata na mbunge hawamtaki na wananchi wameapa kotochangia maendeleo yoyote ya shule kama ataendelea kuwepo sasa abaki hapo kwa lipi
  6/hali iliyokuwepo mkatika mkutano wa hadhara mbele ya mhe. Naibu waziri ilikuwa mbaya wananchi , diwani na mbunge wamemkataa
  watanzania tuwape moyo viongozi makini na tuzingatie issues acheni kurukia mambo ya kusema ovyo wakatgi sisi mkomazi tunaumia
   
Loading...