Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Ukonga Bakari Bakari Shingo, kuhusu Serikali kukemea vitendo vya kutoza gharama za matibabu kwa wajawazito na watoto chini ya umri wa miaka 5, Naibu waziri wa Afya Dkt. Florence Samizi amejibu kwa kutoa ufafanuzi
" Serikali inatekeleza sera ya afya ya mwaka 2007 inayoelekeza kutoa huduma ya matibabu bure kwa makundi maalaum ikiwemo kina mama wajawazito, watoto chini ya umri wa mika 5 pamoja na wazee wenye umri zaidi ya miaka 60wasio na uwezo. Serikali imeshatangaza rasmi utekelezaji wa bima ya afya kwa wote awamu ya kwanza itakayohusisha makundi ya wananchi ikiwa ni pamoja na watotot, wajawazito, walemavu na wzee wasio na uweo ambapo kundi hili litagharamiwa na serikali" -Amesema Naibu waziri wa afya, Dkt. Florence Samizi akijibu maswali katika bunge la 13, mkutano wa pili kikao cha 6
Aidha ametoa rai kwa waganga wakuu wa miko, wilaya pamoja na waganga wafawidhi kuhakikisha huduma ya afya inatolewa kikamilifu