mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,581
- 461
Achinjwe2 mana wamezidi
Wanajukwaa kama ilivyo ada kwa maccm kushinda uchaguzi kwa njia haramu, jana usiku Mbunge aliechakachua ubunge halali wa marehemu Shelembi wa chadema, Stephen Masele jimbo la shinyanga mjini, alikamatwa akigawa rushwa.
Makamanda wa CHADEMA ,RB walikuwa wakifuatilia nyendo zake pasipo yeye kujua na ndipo alipoanza kugawa rushwa alikamatwa, na aliapoanza kupewa kichapo, polisi walimuokoa kwa kupiga risasi za moto na mabomu ya machozi.
Taarifa za uhakika zinaeleza alidondosha nyaraka mbali mbali ktk eneo la tukio.
Mkuu nani kwakwambia umefanya utafiti ccm invest kila kona wewe una ishi wapi kwenye cave?
Ikiwa CCM itapata chini ya asilimia 80 ya mitaa wilaya unayoishi nakunya mchana stendi ya posta.
Baadhi ya nyaraka alizozikimbia Stephen Masele Naibu waziri nishati na madini, ktk tukio la jana usiku
Mbona hiyo risiti na bisness card pia vimewekwa kama nyaraka alizodondosha diwani aliekuwa anagawa takrima huko Mwanga?
Hebu tuwe wakweli katika taarifa. Msiwaige kina MSALANI, Lizaboni et al maana hao walishapoteza credibilite ya kutoa taarifa bali ni njaa zao.
Huo ni uongo tu na uzushi hakuna tukio kama hilo. Mimi nilikuwa Mitaa hiyo nikiangalia mpira. Kumbe nyie kwa uzushi ndo wenyewe. Hata Mungu hamumuogopi.
kwani adhabu ya kutoa au kupokea rushwa ni kupigwa? huko shy hakuna ofisi za PCCB? mngemfunga kamba mkampeleka huko
Huyu ni Naibu Waziri Masele:
View attachment 210758
katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri ...
I would ask – will you condemn house arrest of a person who has not been found guilty of a crime in a normal court of law?
Kibao kimegeuka , walipofanya upuuzi huu tuliwaangalia tu , bado Rage zamu yake itafika .Hahahahahaaaa! Kama namuona vile Maselle anavyokula kichapo. Kuna viongozi huwa wanajitoa akili kabisa nyakati za uchaguzi hata sijui kwanini? Nadhani Maselle atakuwa funzo kwa wengine.
Ova