Naibu Waziri, Stephen Masele apigwa huko Shinyanga (Ufungaji Kampeni S/Mitaa)

Wanajukwaa kama ilivyo ada kwa maccm kushinda uchaguzi kwa njia haramu, jana usiku Mbunge aliechakachua ubunge halali wa marehemu Shelembi wa chadema, Stephen Masele jimbo la shinyanga mjini, alikamatwa akigawa rushwa.

Makamanda wa CHADEMA ,RB walikuwa wakifuatilia nyendo zake pasipo yeye kujua na ndipo alipoanza kugawa rushwa alikamatwa, na aliapoanza kupewa kichapo, polisi walimuokoa kwa kupiga risasi za moto na mabomu ya machozi.

Taarifa za uhakika zinaeleza alidondosha nyaraka mbali mbali ktk eneo la tukio.

Ma CCM dawa yao ni kuyapa Kichapo cha Paka jizi pindi yajilengeshapo kwenye 18 za Ma Kamanda
 
Mkuu nani kwakwambia umefanya utafiti ccm invest kila kona wewe una ishi wapi kwenye cave?

Mzee Kaunda hajafa bado kamuulize aliondokaje pamoja na kuwa alikuwa ame-invest nchi nzima. wakati uifika hutaweza kupata muda wa kunegotiate.
 
khjjkklllllll
 

Attachments

  • 1418543216997.jpg
    1418543216997.jpg
    67.8 KB · Views: 343
Huo ni uongo tu na uzushi hakuna tukio kama hilo. Mimi nilikuwa Mitaa hiyo nikiangalia mpira. Kumbe nyie kwa uzushi ndo wenyewe. Hata Mungu hamumuogopi.
 
Baraza la mawaziri lisizidi watu 18 uwaziri sasa umekuwa kama u-prefect ndo maana na uraisi umeshuka hadhi
 
Mbona hiyo risiti na bisness card pia vimewekwa kama nyaraka alizodondosha diwani aliekuwa anagawa takrima huko Mwanga?
Hebu tuwe wakweli katika taarifa. Msiwaige kina MSALANI, Lizaboni et al maana hao walishapoteza credibilite ya kutoa taarifa bali ni njaa zao.

Nitakuwekea na clip ya video kama bado utadhani tuna muzushia masele
attachment.php
 

Attachments

  • 1418541272402.jpg
    1418541272402.jpg
    68.1 KB · Views: 598
  • 1418541330244.jpg
    1418541330244.jpg
    73.8 KB · Views: 429
Huo ni uongo tu na uzushi hakuna tukio kama hilo. Mimi nilikuwa Mitaa hiyo nikiangalia mpira. Kumbe nyie kwa uzushi ndo wenyewe. Hata Mungu hamumuogopi.

Unamjua Stephene Masele naibu waziri nishati na madini?angalia clip hiyo ya tukio la jana alipokamatwa na Red brigade wakati akigawa rushwa
 
kwani adhabu ya kutoa au kupokea rushwa ni kupigwa? huko shy hakuna ofisi za PCCB? mngemfunga kamba mkampeleka huko

Sasa unadhani PCCB itamfanya nini ikiwa kila sehemu na kila mamlaka hapa Tz ccm imetia mkono wake, bora walivyoamua kumfaidi kidogo maana asingewajibishwa kwa namna yoyote kwa sababu yupo ndani ya chama cha kulindana
 
Huyu ni Naibu Waziri Masele:

View attachment 210758
katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Mheshimiwa Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri ...

Mkuu hiyo machine haiitwi katapila ila ni wheel loader XGMA,,,katapila ni watengenezaji tu wa machine kaka...
 
Hahahahahaaaa! Kama namuona vile Maselle anavyokula kichapo. Kuna viongozi huwa wanajitoa akili kabisa nyakati za uchaguzi hata sijui kwanini? Nadhani Maselle atakuwa funzo kwa wengine.
Ova
 
Hahahahahaaaa! Kama namuona vile Maselle anavyokula kichapo. Kuna viongozi huwa wanajitoa akili kabisa nyakati za uchaguzi hata sijui kwanini? Nadhani Maselle atakuwa funzo kwa wengine.
Ova
Kibao kimegeuka , walipofanya upuuzi huu tuliwaangalia tu , bado Rage zamu yake itafika .
 
Back
Top Bottom