Naibu waziri akimbizwa mbuguni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu waziri akimbizwa mbuguni

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Neema William, Mar 29, 2012.

 1. N

  Neema William Senior Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Na Neema Kishebuka, Arumeru mashariki

  Makazi Goodluck Ole Medeye ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi, amenusurika kupigwa na wananchi wa kata ya mbuguni baada ya kukutwa akifanya mkutano huku akiwa na gari la serikali.

  K wa mujibu wa tarifa kutoka kwa wananchi wa Naibu waziri wa Ardhi Nyumba Maendeleo na kata ya Mbuguni … wamesema kuwa waziri huyo mwenye dhamana alitiwa mbaloni na wananchi kwa kile walichodai kufanya kampeni akiwa na gari la serikali huku akiwa na raia mmoja wa Tanzania mwenye asili ya Kiasia ambaye ni mmiliki wa mashamba makubwa ya karangai sugar estate wilayani Arumeru.
  wananchi hao wamesema kuwa walimtia mbaloni waziri huyo baada ya kukufika mbuguni kwa lengo la kuwaadaa wananchi huku akitumia gari la Wananchi hao wamesema kuwa mwekezaji huyo kwa kushirikiana na Ole medeye waliwaeleza wananchi kuwa wakichagua ccm yupo Radhi kuwaachia sehemu ya mashamba wananchi wa mbuguni. .  Wengine walioongozana na naibu waziri huyo ni Waziri huyo diwani wa kata ya Mbuguni , Thomas Molel maarufu kwa jina la Askofu pamoja na katibu wa ccm kata ya Mbuguni Samia Ndesauyo kaaya , pamoja na mjumbe wa kamati ya siasa ya kata ya Mbuguni Yahya Hassan, ambapo walipatwa na mkasa huo majira ya saa kumi na mbili jioni.

  Hata Hivyo waziri huyo ambaye alikuwa katika gari lenye namba zilizoandika NW- AR likiwa na bendera ya Taifa ,na kundi lake walinusurika baada ya kukimbilia katika shule ya msingi Oldevesi, hadi polisi walipofika kumuokoa na kumuacha aende zake.
  Hata Hivyo naibu waziri huyo alipoulizwa na waandishi wa habari ili kuweza kupata ukweli alitoa kauli tofauti ,ambapo mara ya kwanza alisema kuwa alikwenda huko kusuruhisha migogoro ya ardhi, wakati taarifa zinasema kuwa ni kweli waziri huyo siku hiyo alifika kusuruhisha mgogoro wa Ardhi katika kata ya mrangarini jimbo la Arumeru magharibi akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Arumeru mesi Sira na mkuu wa wilaya ya Arusha Raimond mushi pamoja na mkuu wa mkoa magesa Mulongo,
  Hata Hivyo mshangao uliokuwepo ni kwamba eneo alilokwenda kusuruhisha mgogoro wa ardhi ni kilometa Nyingi kutoka mbunguni tena ni katika jimbo lingine ambapo alikuwa amevaa suti ya Kodrai rangi ya inayofanana na ugoro ama udongo.
  Katika kauli ya pili alidai kuwa ni kweli alikuwa eneo hilo la tukio kutazama mashamba yeke, na alipokuwa huko taarifa zinasema kuwa alikuwa amevaa kanzu nyeupe, na baraghashia.
  Na katika kauli yake ya tatu alidai kuwa alikuwa katika shughuli za kiserikali, kauli zote hizo amezitoa kwa waandishi wa habari waliompigia kupata ukweli wa jambo hilo .
  Tukio kama hilo la kufanya kampeni kwa kutumia magari ya serikali yanayotumia Kodi za wananchi kwa viongozi wa kiserikali wakati wa chaguzi ndogo liliwahi kutokea katika kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga

  Naibu katibu mkuu Zanziabar wa chadema , Hamad Yusuph Musa amesema kuwa wametoa taarifa kituo kidogo cha polisi cha mbunguni na kupewa Rb 81.2012 kwa kuwa kiongozi huyo anatumia gari na mafuta ya serikali kufanya kampeni.

  Hata Hivyo katika kmpeni hizi chadema wanasema watafanya kameni za kistaarabu kwani wameanza na mungu watamaliza na Mungu.
   
 2. N

  Neema William Senior Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 3, 2012
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  na Neema Kishebuka, Arumeru

  Makazi Goodluck Ole Medeye ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi, amenusurika kupigwa na wananchi wa kata ya mbuguni baada ya kukutwa akifanya mkutano huku akiwa na gari la serikali.

  K wa mujibu wa tarifa kutoka kwa wananchi wa Naibu waziri wa Ardhi Nyumba Maendeleo na kata ya Mbuguni … wamesema kuwa waziri huyo mwenye dhamana alitiwa mbaloni na wananchi kwa kile walichodai kufanya kampeni akiwa na gari la serikali huku akiwa na raia mmoja wa Tanzania mwenye asili ya Kiasia ambaye ni mmiliki wa mashamba makubwa ya karangai sugar estate wilayani Arumeru.
  wananchi hao wamesema kuwa walimtia mbaloni waziri huyo baada ya kukufika mbuguni kwa lengo la kuwaadaa wananchi huku akitumia gari la Wananchi hao wamesema kuwa mwekezaji huyo kwa kushirikiana na Ole medeye waliwaeleza wananchi kuwa wakichagua ccm yupo Radhi kuwaachia sehemu ya mashamba wananchi wa mbuguni. .
  Wengine walioongozana na naibu waziri huyo ni Waziri huyo diwani wa kata ya Mbuguni , Thomas Molel maarufu kwa jina la Askofu pamoja na katibu wa ccm kata ya Mbuguni Samia Ndesauyo kaaya , pamoja na mjumbe wa kamati ya siasa ya kata ya Mbuguni Yahya Hassan, ambapo walipatwa na mkasa huo majira ya saa kumi na mbili jioni.
  Hata Hivyo waziri huyo ambaye alikuwa katika gari lenye namba zilizoandika NW- AR likiwa na bendera ya Taifa ,na kundi lake walinusurika baada ya kukimbilia katika shule ya msingi Oldevesi, hadi polisi walipofika kumuokoa na kumuacha aende zake.
  Hata Hivyo naibu waziri huyo alipoulizwa na waandishi wa habari ili kuweza kupata ukweli alitoa kauli tofauti ,ambapo mara ya kwanza alisema kuwa alikwenda huko kusuruhisha migogoro ya ardhi, wakati taarifa zinasema kuwa ni kweli waziri huyo siku hiyo alifika kusuruhisha mgogoro wa Ardhi katika kata ya mrangarini jimbo la Arumeru magharibi akiwa ameongozana na mkuu wa wilaya ya Arumeru mesi Sira na mkuu wa wilaya ya Arusha Raimond mushi pamoja na mkuu wa mkoa magesa Mulongo,
  Hata Hivyo mshangao uliokuwepo ni kwamba eneo alilokwenda kusuruhisha mgogoro wa ardhi ni kilometa Nyingi kutoka mbunguni tena ni katika jimbo lingine ambapo alikuwa amevaa suti ya Kodrai rangi ya inayofanana na ugoro ama udongo.
  Katika kauli ya pili alidai kuwa ni kweli alikuwa eneo hilo la tukio kutazama mashamba yeke, na alipokuwa huko taarifa zinasema kuwa alikuwa amevaa kanzu nyeupe, na baraghashia.
  Na katika kauli yake ya tatu alidai kuwa alikuwa katika shughuli za kiserikali, kauli zote hizo amezitoa kwa waandishi wa habari waliompigia kupata ukweli wa jambo hilo .
  Tukio kama hilo la kufanya kampeni kwa kutumia magari ya serikali yanayotumia Kodi za wananchi kwa viongozi wa kiserikali wakati wa chaguzi ndogo liliwahi kutokea katika kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga kwa mkuu wa wilaya ya Igunga Bi Fatuma Kimario ambalo lilileta mtafaruku mkubwa.

  .mwisho
   
 3. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,645
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa ccm hawajifunzi tu?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Huyu waziri anaendelea kuidhalilisha serikali ya mkubwa wake JK!..Kosa hilo pekee linafaa kufukuzwa kazi!
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Janja ya nyani hiyo........
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Ole Medeye ni aina ya wanasiasa wasiojua mipaka ya matumizi ya mali za umma,amepewa haki yake siku nyingine hatorudia tena kufanya kampeni na magari ya serekali.
   
 7. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ni furaha ilioje wananchi wakitambua haki zao, wajibu wao na nguvu walizonazo.
  Tutafika tu, polepole
   
 8. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu jamaa alikuwaga very bright haswa alipokuwa anafanya kazi TCRA ila baada ya kuingia kwenye siasa nadhani hata ubongo umeanza kuota kutu. Anafanya mambo ya kipuuzi ambayo no one would ever expect from him. Nways, lets see how it goes with him maana najua hatafanywa lolote! Birds of the same feathers do flock together by the way!
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dah,hawa watu bhana
   
 10. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #10
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizola la CCM ni kudhani kuwa ina hati miliki ya nchi hii!
   
 11. h

  hans79 JF-Expert Member

  #11
  Mar 29, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  vyeo vya kupeana taabu sana hatuna mawazir tz wote walopo wanafanyakazi kinafiki tu. katiba mpya iondoe huu upuuzi wa vyeo vya kupeana kama njugu, sifa za kuwa kiongozi ziwe wazi si kama ilivyo sasa.mkijipendekeza kwa jk kesho anakuteua bila kujali uwezo wako.
   
Loading...