YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Tanzania Mwenyezi MUNGU kaijalia kupata Naibu spika imara kama Waziri mkuu wa Zamani wa uingereza mwanamama Margaret Thatcher.Waziri mkuu huyo alijulikana kama IRON LADY.
Waingereza walimkoma alikuwa na misimamo isiyoyumba kwenye usimamiaji wa mambo.
Uingereza walijivunia sana huyo mama.Tulia ni Margareth Thatcher wa Tanzania.Aendelee na misimamo yake atafika mbali tena sana.Asilegeze uzi.