Hiyo vita yao imekuwa too personal. Kwa akili ya kawaida wanatarajia Ndugai afanye tofauti?
Hawaoni kila CCM wakitaka kufanya ya kwao, Tulia ndiyo ataongoza5kikao ili jamaa watoke? Hilo hamulioni bado?
Kuna njia za kukabiliana na Tulia ndani ya Bunge. Wapinzani waanze kupigania kanuni mpya za kuendesha Bunge. Kwa hizi zilizopo ni hadi kiama.
Kwa ugonjwa huu wa kukomoana (tuliasis), hata kubadilisha kanuni za bunge ni ngumu Mkuu. Wenye mamlaka ya kuridhia hilo litekelezwe ni ccm. Hata ktk hatua ya marekebisho ya kanuni zenyewe ccm ni wengi, hivyo watalinda maslahi yao.