Naibu spika atoa ufafanuzi kuhusu adhabu zilizotolewa jana

Naibu Spika Atolea Ufafanuzi Adhabu Zilizotolewa kwa Wabunge Jana
Baada ya Wabunge Saba kusimamishwa kuhudhulia vikao vya bunge. Maelezo hayo yanaonyesha upungufu.
 
Watz ni watu wa aina yake tofauti,huwa hawapendi shida hasa pale unapoelekea hata kumnyima haki,utasikia "Mungu yupo","Inshallah",Au unapodai kitu unaambiwa "wewe unaandamana wao viongozi wamelala makwao",au "mbona watoto wao hawatoki kuandamana"

,Najaribu kulitafakari taifa langu na silipatii jibu nakujiuliza ni nani ameturogaaa.....Na je tazama ni wangapi wanaelewa siasa za nchi au siasa za kimataifa,utakuta mtu anakosoa wapinzani na kuanza kusema "wajinga hao wanatoka nje!!!!! wao ni wajinga kabisa"

huyo ni baba amashavaa kibukta chake yupo sebuleni anakosoa, hivyo basi utakuta na familia yake inamuunga mkono "kweli baba/mume wangu wajinga kabisa sasa wanamkomoa nani wakitoka"Na hapo hata mtu aliyesoma anakuwa ajielewi vya kutosha.

Very sad to peoples in my country,very sad,ila tuombe Mungu atusaidie tuje kupata kizazi kitakachoweza kuhoji vitu na kutokupelekeshwa ovyo,pole wewe uliyezaliwa kizazi hiki
 
Back
Top Bottom