Hivi Tanzania tuna kitu inayoitwa Bunge au tunaigiza tu! Kama waliomo ndani wanatumia vichwa kufuga nywele badala ya kufikiri. Ukiwa na Makinda, Ndugai, Mabumba, Werema na Lukuvi kama viongozi wakuu katika bunge utaliita hilo bunge? Just another Ze comedi and Futuhi
bunge linaendeshwa kwa pesa za walipa kodi,mambo ya kuhairisha bunge kila wakati ni kuzidi kupoteza pesa za watanzania,ni vyema tuendelee kuunga mkono kubana matumizi ya serikali
bunge linaendeshwa kwa pesa za walipa kodi,mambo ya kuhairisha bunge kila wakati ni kuzidi kupoteza pesa za watanzania,ni vyema tuendelee kuunga mkono kubana matumizi ya serikali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.