chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Sasa na wewe, nae Tulia ana kosa gani kwa ufedhuli wa huyo Theonista? Ina maana angemuadhibu, ukawa mngeendelea kukaa nje ya bunge sio? Kweli hamueleweki.Wangetunga sheria na adhabu kwanza si wako peke yao, halafu ndiyo wangetoa adhabu ili wananchi tuzidi kumfahamu vizuri tulia
Anapelekwa polisi.Hakuana adhabu.kikanumi lakini akirrudia atapewa adhabu kali. Kutoka kanuni ipi sasa?
Mimi kwa mtazamo wangu naona tuko more judgemental na objective hasa tunapotoa michango yetu kwenye suala hili. Hili tukiliangalia suala hili kwa undani utakuta ni subjective kwa maana kwama Mbunge Milinga na Anathropia wanafanyakazi office moja (BUNGE). Kufanyakazi ofice moja mara nyingi huwa tunachukuliana kuwa ni familia moja. (hata kama tuko department tofauti- hapa naongelea wao wana tofauti za itikadi za kisiasa). Tunajua maisha ya watoto wa familia moja wanavyoishi. Kuna matani, kuna kutofautiana n.k. Haya yote yanatokea sehemu yoyote mahala pa kazi. Mie kwa Mtazamo wangu hawa ni watu wanaofahamiana vizuri na yawezekana wamezoea kutaniana. Ndio maana ukiangalia wakati Milinga anaomba muongozo kuhusu suala hili, body language yake ilikuwa hata inaongesha kukerwa na kitendo hicho achilia mbali maneno aliyoongea. Mie kwa Mtazamo wangu alitaka tu kuwafurahisha wabunge wenzie wajue nini kimetokea, au kwa vile ni mtu anayependa kuongea sana, hivyo alitaka tu kuwashirikisha wenzake. Kwa hiyo hata naibu speaker siamini kama hajui vitu kama hivi (utani kati ya mtu na mtu hutokea katika jamii). Angalia sasa anavyojichanganya, amesema hakuna kanuni inayotoa maelekezo ya kushughukia tatizo kama hilo hapo hapo anasema akirudia atashughulikiwa. Kwa kanuni zipi?? hapo anajua yeye.Sasa na wewe, nae Tulia ana kosa gani kwa ufedhuli wa huyo Theonista? Ina maana angemuadhibu, ukawa mngeendelea kukaa nje ya bunge sio? Kweli hamueleweki.
Kanzu ni vazi kama mavazi mengine, a halina mfungamano wowote na dini...ni kwamba tu wengi wa walio Waisilamu wamechagua kutumia vazi hilo...Vazi livaliwe na wanaohusika kulivaa sio kuvaavaa tu. Kwan vazi hilo sio jezi mbeya city ila ni vazi maalum kwa wafuasi wa dini ya kiislam.
Hapo ukawa mbona hawalalamiki?
Nilijiuliza swali kama hili pia!!! Hatutaacha kuona maajabu dunia hii.Hakuna adhabu kikanuni lakini akirudia atapewa adhabu kali. Kutoka kanuni ipi sasa?