Naibu katibu mkuu wizara ya afya

ABDONA

Senior Member
Aug 2, 2015
119
26
wakuu, naomba kuuliza. baada ya kuona kazi nzuri ya dokta kigwangala hasa siku ile alipoamua kuwafungia wachelewaji gati la wizara ningependa kujua kama DAP wa wizara ya afya bado yupo au kabadilishwa. siku ile nilimuona DAP John Miko akipigwa maswali mengi na kigwa. Vip hivi huyu DAP kabaki au nae ameambiwa atapangiwa kazi nyingine? hivi DAP ndo naibu katibu mkuu?
Naomba ufafanuzi wadau.
 
Back
Top Bottom