kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,045
Mkuu hawa watu ni wanafiki kweli,hivi nani anawashinda wa Zenji kwa kunywa gongo?au kwa vile haiuzwi baa ya wazi kwao sio dhambi? Hiyo kitimoto ndio usiseme,inafakamiwa sie mchezo hata maini yake yanapikwa rosti.kama huamini uliza wauzaji wa KM jee mauzo yakoje wakati wa mfungo?utaambiwa yanashuka kwa 4o%.
Umalaya sio kuvaa mini skate,hata kwenye baibui ndio usiseme.
Hoja zao za kibaguzi hazina mshiko kabisa.
BTW deni la Tanesco wameshalipa? Maana ni upuuzi kumbagua anayetoka jasho kukutunza.
Pia akina dada wengi wa z'bar wanaliwa tigo ili kutunza bikira, na pia mashoga ni wengi sana huko, wanaona dhambi ni makanisa tu.