Nahodha umesahau mauaji ya pemba?

Nahodha umesahau mauaji ya pemba?

SIMONBICHWA S

Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
11
Reaction score
0
Waziri mwenye dhamana ya mauaji,Shamsi V. Nahodha,ametoa kauli ambayo yeye mwenyewe anaonekana haelewi anachosema. Nahodha alisema vurugu za Arusha ni ugomvi wa kisiasa hivyo utasuruhishwa kisiasa! Nahodha haoni kuwa kama kweli huo ni ugomvi wa kisiasa,basi hakuwa na sababu ya kupeleka wauaji kutekeleza mauaji. Nahodha amesahau mauaji ya Pemba wakati yeye ni waziri Kiongozi wa Zanzibar? Wana JF,nyie ni maGREAT THINKER,let you Think Critically kuhusu huyu Nahodha!
 
Back
Top Bottom